Hii sasa ni Dharau kwa MaMiss wetu....

Hii sasa ni Dharau kwa MaMiss wetu....

Jembe ni jembe ndio wameandaa hayo mashindano ya kuwadhalilisha dada zetu kwa kuwapa hiko kitoroli
 
Wamekibadilisha! Afadhali na huyu,maana yule miss Tz 2016 Dianna Edward walitaka kumzima kabisa,ila baada ya kelele nyingi za wadau ndipo mwaka jana wakampa ka swift ikiwa ni mwaka mzima tokea avikwe taji hilo! Basata kimya, hilo hapo ndiyo jipya la miss lake zoneView attachment 827351
zote ni passo ili hiki kina afadhali kidogo kuliko ule mkweche
 
Nakumbuka kipindi cha nyuma zilikua zinatolewa Rav 4 kali kali ime 2005,2006 na walikua hawabandiki matangazi hayo sasa hivi magari yenyewe hayana kichwa wala miguu ila matangazo kama milioni hivi...kuna mmoja sijui wa mwaka 2017 au 2016 gari lake lilikua ni kituko na lilichelewa kukabidhiwa kwa miezi mingi sana
 
kama kaPASSO ni kabovu basi wajitoe hayo mashindano ya kuonesha vipaja vyao km njiwa na vimiguu utafikiri mbuni
 
Kwa Wasukuma hiyo ni saizi yao,fikiria kama miss katoka Chatto au Kolomije kuna ubaya gani
 
Watu hata hawashindi hata siku moja miss world halafu wanataka gari iwe mzuri.
hawana hadhi nayo wanapoteza muda wawatu tu Na hela washukuru wanaweza kula malazi na mguo ni safie
 
Passo hata ukitoa Leo Bandar ni mbovu ..sipati picha hilo gari litakuwaje maana passo pasua...
 
Hawa waandaji walifanya tu haya mashindano kwa sababu walitaka kubandua watoto wa watu kama alivyokuwa anafanya kijana Lundenga enzi zake, yeye aliwala karibia Ma Miss wote kisha kuoa baadhi yao. Siku si nyingi tutakuja kusikia kuna mashindano ya ma Miss mshindi anapata baiskeli ama mkokoreni…..serikali iingilie kati hapa la sivyo kina Lundenga watazidi kuongezeka hapa nchini.
 
Back
Top Bottom