Hii sasa ni Dharau kwa MaMiss wetu....

Nilivyoiona nimecheka sana, yaani wameshindwa hata kununua rim mpya za tairi
 
Washairudisha walikua wanatest km bado tuko macho, ila ni poa maana tusingelalamika angepewa dadake mtu hilo screpa
 
Write your reply...
Japo watabadilisha tairi tu,kununua gari mpya Kwa usawa wa siyo kitu rahisi
 
K watoe wengine Gari wakose huo ni Ujinga tu mabinti watafute cha kufanya sio hizo
 
Zawadi ni zawadi kwani wanawadhalilisha vipi ,hivi wwe ukipewa gari kama hiyo wakati hata baiskeli huna utaikataa,kwa kazi gani hadi mtu apewe gari jipya?kwa kukenua meno na kuonyesha vyupi?fanya kazi pata gari jipya,kenua meno pata gari mtumba,hapa hakuna dharau,wewe mleta uzi ndie unaleta dharau
 
ila hao mamiss mnawadekeza sana yani kupita pita tu mbele na kutuonyesha nguo ndo tuwape Gari?hizi ndo dharau sasa . Au mimi sielewagi?
 
Ukiona hivyo , huyo miss aliyeshinda pia ni used tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…