sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
YANGA YA MSIMU UJAO TAMUHii Sasa Sifa mkataba wa bilion nne na ushee Kwa mwaka!! Nyie Sport pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.
Kama Yanga watafanikiwa kupata udhami kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya Caf champion league.
Ngoja uje kupata matusi ya makolo wako njiani wanakujaHii Sasa Sifa mkataba wa bilion nne na ushee Kwa mwaka!! Nyie Sport pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.
Kama Yanga watafanikiwa kupata udhami kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya Caf champion league.
Kitu kama hicho msahau..Hii Sasa Sifa mkataba wa bilion nne na ushee Kwa mwaka!! Nyie Sport pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.
Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka azam sijui ni sh ngapi kwa mwaka nimesahau
Kama Yanga watafanikiwa kupata udhami kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya Caf champion league.
Maneno waachie kina dewji ya kwenye bango
Acha Tuone Kwa Bongo Hayo Ni Maneno Tu
Nikupe Mimba / Nikutambalizie nao?
Mkuu kumbe upoπ€£π€£ uyo anakuchokoza tu anataka kusikia neno toka kwako juu ya mkataba mpya wa sportpesaNikupe Mimba / Nikutambalizie nao?
Tehtehteh kolo limemaindNikupe Mimba / Nikutambalizie nao?
Mpelekee [emoji91] huyo mbwigaNikupe Mimba / Nikutambalizie nao?
Hawa vinyesi ni wa kupotezea tu,ushamba na ulimbukeni unawasumbua sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udhamini wa Yanga, ila anajadiliwa Simba.
Khaaaaah. Hatareeeeeh hiyooooo
Kuna watu washamba hapa nchini kama makolo?Hawa vinyesi ni wa kupotezea tu,ushamba na ulimbukeni unawasumbua sana
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Lakini hawanuki kinyesi kama wewe na wenzako hapo utopoloniKuna watu washamba hapa nchini kama makolo?
Ni wa kuwapuuza tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa vinyesi ni wa kupotezea tu,ushamba na ulimbukeni unawasumbua sana
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app