Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka! Nyie Sport Pesa mnaifanya Yanga iende kuchukua vikombe vyote msimu ujao

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.

Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka Azam sijui ni shilingi ngapi kwa mwaka nimesahau

Kama Yanga watafanikiwa kupata udhamini kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya CAF champion league.
 
Hii Sasa Sifa mkataba wa bilion nne na ushee Kwa mwaka!! Nyie Sport pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.

Kama Yanga watafanikiwa kupata udhami kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya Caf champion league.
YANGA YA MSIMU UJAO TAMU
 
Ngoja uje kupata matusi ya makolo wako njiani wanakuja
 
Acha Tuone Kwa Bongo Hayo Ni Maneno Tu

K
Hii Sasa Sifa mkataba wa bilion nne na ushee Kwa mwaka!! Nyie Sport pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.

Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka azam sijui ni sh ngapi kwa mwaka nimesahau

Kama Yanga watafanikiwa kupata udhami kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya Caf champion league.
Kitu kama hicho msahau..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udhamini wa Yanga, ila anajadiliwa Simba.
Khaaaaah. Hatareeeeeh hiyooooo
 
Mshindi aliambiwa tuoneshe mkeka ulioshinda akaanza siasa. Ngoja tukomae na premier bet na bet pawa tu.
 
Back
Top Bottom