D
Rais hawezi kukemea kwa sababu ndiye amewatuma BAKWATA na UVCCM wafanye hayo maigizo ili kulibagaza Kanisa Katoliki hata madhila anayokutana nayo VP Nchimbi ni kutokana na Ukatoliki wake.Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.
Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti.
Imefika wakati Kiongozi wa Nchi inabidi akemee huu ujinga unaoendelea, kazi ya Kanisa Katoliki haishii kuwasilisha Wakatoliki ibadani kanisani Kila Jumapili na kwenye Jumuiya, pia ni kama sehemu ya Jamii katika kukemea maovu yanayofanywa na Watawala, ni vyema watawala mkayachukua mawazo ya TEC na kuyafanyia kazi kuliko kutengeneza Scripts za hivyo hivyo tu kama vile wananchi wote ni vilaza tu hapa nchini, itafikia hatua haya mambo wananchi watayachoka na wataamua kuchukua hatua kama hamtayakemia, Sasa hatua gani watazichukua Mimi sijui.
Chao
Kashindwa kukemea watu kutekwa ndio ujue na hili karuhisuRais hawezi kukemea kwa sababu ndiye amewatuma BAKWATA na UVCCM wafanye hayo maigizo ili kulibagaza Kanisa Katoliki hata madhila anayokutana nayo VP Nchimbi ni kutokana na Ukatoliki wake.
Si wameenda kumalizana na Mkuu wa Wakatoliki huko Vatican?. Nongwa inatoka wapi?Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.
Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti.
Imefika wakati Kiongozi wa Nchi inabidi akemee huu ujinga unaoendelea, kazi ya Kanisa Katoliki haishii kuwasilisha Wakatoliki ibadani kanisani Kila Jumapili na kwenye Jumuiya, pia ni kama sehemu ya Jamii katika kukemea maovu yanayofanywa na Watawala, ni vyema watawala mkayachukua mawazo ya TEC na kuyafanyia kazi kuliko kutengeneza Scripts za hivyo hivyo tu kama vile wananchi wote ni vilaza tu hapa nchini, itafikia hatua haya mambo wananchi watayachoka na wataamua kuchukua hatua kama hamtayakemia, Sasa hatua gani watazichukua Mimi sijui.
Chao
Wakiyafanyia kazi mawazo ya TEC wanatoka Madarakani. We kuweza?Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.
Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti.
Imefika wakati Kiongozi wa Nchi inabidi akemee huu ujinga unaoendelea, kazi ya Kanisa Katoliki haishii kuwasilisha Wakatoliki ibadani kanisani Kila Jumapili na kwenye Jumuiya, pia ni kama sehemu ya Jamii katika kukemea maovu yanayofanywa na Watawala, ni vyema watawala mkayachukua mawazo ya TEC na kuyafanyia kazi kuliko kutengeneza Scripts za hivyo hivyo tu kama vile wananchi wote ni vilaza tu hapa nchini, itafikia hatua haya mambo wananchi watayachoka na wataamua kuchukua hatua kama hamtayakemia, Sasa hatua gani watazichukua Mimi sijui.
Chao
Papa yupo Juu ya Viongozi wote wa Dunia hii, sio Mkuu wa Wakatoriki tu sauti ile ya Askofu ni sauti ya Papa kwa hio unapopokea sauti ya Askofu halafu unaenda kwa Papa Papa lazima akurudishe kwa Paroko wako ukaanze na moja,Si wameenda kumalizana na Mkuu wa Wakatoliki huko Vatican?. Nongwa inatoka wapi?
Ukiambiwa uthibitishe hilo utaweza kuthibitisha unachosema au yamekutoka tu kwa bahati mbaya?Katika vitu TEC na Kanisa katoliki Tanzania walikosea ni kufanya jitihada za Siri na wazi kuipindua serikali.
Siku zote jaribio lako la Mapinduzi ya Serikali liki fail Kuna gharama kubwa za wazi au za Siri hunabudi kuzilipia.
TEC na Katoliki wawe tayari kulipia gharama izo.
Ata Shetani/ Joka wa Zamani alivyo fail kwenye mapinduzi kule Mbinguni Kuna gharama anazilipia kwasasa na baadae Licha ya kuondoka na theluthi ya malaika kutoka Mbinguni lakini Bado analipia gharama.
Wakina Kombo wamerudishwa kwa Paroko?Papa yupo Juu ya Viongozi wote wa Dunia hii, sio Mkuu wa Wakatoriki tu sauti ile ya Askofu ni sauti ya Papa kwa hio unapopokea sauti ya Askofu halafu unaenda kwa Papa Papa lazima akurudishe kwa Paroko wako ukaanze na moja,
Kawaulize walichojibiwa kwanza ndio watakwambia wanatokea Parokia ipi maana lazima warudishe mpira kwa Paroko awasikilize ndio awaelekezee kwa Askofu Askofu akiona namna gani ndio anawapa kibari cha kwenda kwa Papa, wao kwa Papa wamefikaje bila kupitia hizo hatua za kiutaratibu na kiutendaji wa kanisa?Wakina Kombo wamerudishwa kwa Paroko?
Kwa hiyo maongezi yao hayakuwa ya Siri?. Tukiwauliza walichojibiwa je, watasema ukweli?Kawaulize walichojibiwa kwanza ndio watakwambia wanatokea Parokia ipi maana lazima warudishe mpira kwa Paroko awasikilize ndio awaelekezee kwa Askofu Askofu akiona namna gani ndio anawapa kibari cha kwenda kwa Papa, wao kwa Papa wamefikaje bila kupitia hizo hatua za kiutaratibu na kiutendaji wa kanisa?
Wakisema uongo watajua wakisema ukweli watajua pia ila walichojibiwa ni hicho warudi Parokiani wakaonane na Paroko wa Parokia yao wazungumze nae kwanza kisha awape uelekeo waache maigizoKwa hiyo maongezi yao hayakuwa ya Siri?. Tukiwauliza walichojibiwa je, watasema ukweli?
Wamerudishwa wameambiwa waanzie huku, ndiyo waende VaticanSi wameenda kumalizana na Mkuu wa Wakatoliki huko Vatican?. Nongwa inatoka wapi?
Si wameenda kumalizana na Mkuu wa Wakatoliki huko Vatican?. Nongwa inatoka wapi?
Waanzie kwa Paroko wa Parokia wanayosali kwanza kisha ndio watapewa kibari cha kuonana na Barozi wa Vatican sio wanaenda kienyeji tuna unajua Kwamba katika official meeting yeyote Ile Serikali inayohitaji kuonana na Pope ni lazima waanzie kwa Balozi wa Vatican nchini ili ujumbe huo wa Serikali uweze kupokelewa nchini Vatican,
Ala, hivi CCM kuna wakatoliki kweli; maana hiyo ni mali ya BAKWATA!Sisi Wakatoliki wa CCM
Hiyo project ya samua na Mwigulu haiwezi kufaChondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.