Hii Script ya Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe Wilayani Temeke Ifike Mahali Ifike Mwisho

unatetea maslahi yako, lini walitaka kupindua, wana vikosi vya kijeshi? Muachage kuandika propaganda za kindezi
 
Bado wanaendeleza upuuzi wao ila nuongozaji na muigizaji wao anawaangusha sana

Hizi Scripts Sasa zifike mwisho, sisi waumini wa dhehebu hili ambao pia ni wanachama na wafuasibwa CCM tunaumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…