Ndegemakwava
Member
- Jun 23, 2022
- 55
- 119
Ni maswali gani yanaulizwa, niwajibu kwenye karatsi nibandike mlangoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njombe+Mvua wapi tena huko
Maswali mengi sana yale. Maswali 100 kwenye kaya moja ni too much. Na hii mvua inayoshtua hapa Dar. Na nyumba za Dar unakuta nyumba moja kuna kaya 3 hadi 10.Mi wamenipa karatasi nimejaza majina matatu na wanafamilia wangu na nida namba nimeambiwa toka asubuhi ndio wako nyumba ya nne huko so wameamua kujiongeza.Watajijua wenyewe hukoo ngoja nikatafute mali kwanza niitibu.
Mbona rahaaa.Maswali mengi sana yale. Maswali 100 kwenye kaya moja ni too much. Na hii mvua inayoshtua hapa Dar. Na nyumba za Dar unakuta nyumba moja kuna kaya 3 hadi 10.
Je WAJUA! Kumkwepa karani wa sensa, au kususia sensa niFanya mishe zako,sensa waachie wenyewe
Tupo karume mchikichin mishe km zoteHuko hamna mishe leo wanazuia mishe mishe. Labda kama unaenda misele tu.
Miaka miwili? Wangeweka 10 hadi Sensa ijayo.Je WAJUA! Kumkwepa karani wa sensa, au kususia sensa ni
Kosa na adhabu yake ni kifungo Cha miezi 24 jela,?
Mnahesabia wateja tu. 🤣🤣
Msimamo wangu ni ule ule,nazani unajua.Je WAJUA! Kumkwepa karani wa sensa, au kususia sensa ni
Kosa na adhabu yake ni kifungo Cha miezi 24 jela,?
Jichanganye na hii mvua,ushtuke kumekucha na kishkwambi hakionekani[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo na karani wa sensa hapa!Kishudu original,ni burudani kwakweli kesho tutegemee nyuzi nyinyii za kula kimasihara
Ahsante mkuu[emoji1545]Pole Mkuu [emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3511][emoji3511][emoji3511]
View attachment 2332217
🤣🤣🤣 ukihesabiwa unawekewa alama yoyote kama tulivopiga kura?Nimefanya mahojiano na karani wa sensa Kwa dakika 43,
Nina hakika hili zoezi haliwezi kuisha Leo
Ila makarani mkifika lile swali UNAWAKE WANGAPI? muwe mnatutoa Chemba kidogo mtavuruga zoezi
Kumbe vilaza wapo wengi nchi hii, yaani unakaa kusubiri watu wa sensa ambao hujui watakuja ama lah kweli?Yani sensa, nimeamka tangu saa 12 asubuhi najua watafika fasta nisepe zangu. Familia Iko mkoa na mimi nipo peke yangu home, kifatacho ikifika saa 6 kamili mchana nafunga mlango na mageti nasepa kwenye mishe zingine!
Nawaza niandikie number za simu getini? Tatizo vishkwambi vyao vimewezeshwa na talk time? Hii naona itakua changamoto kwa watu wengi.
Kama ni demu akija nitahakikisha naulizwa maswali yote 100. Ila kama mshikaji ata matano yanatosha.Nipo na karani wa sensa hapa!Kishudu original,ni burudani kwakweli kesho tutegemee nyuzi nyinyii za kula kimasihara