Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

Mi wamenipa karatasi nimejaza majina matatu na wanafamilia wangu na nida namba nimeambiwa toka asubuhi ndio wako nyumba ya nne huko so wameamua kujiongeza.Watajijua wenyewe hukoo ngoja nikatafute mali kwanza niitibu.
Maswali mengi sana yale. Maswali 100 kwenye kaya moja ni too much. Na hii mvua inayoshtua hapa Dar. Na nyumba za Dar unakuta nyumba moja kuna kaya 3 hadi 10.
 
Maswali mengi sana yale. Maswali 100 kwenye kaya moja ni too much. Na hii mvua inayoshtua hapa Dar. Na nyumba za Dar unakuta nyumba moja kuna kaya 3 hadi 10.
Mbona rahaaa.
 
Nipo na karani wa sensa hapa!Kishudu original,ni burudani kwakweli kesho tutegemee nyuzi nyinyii za kula kimasihara
 
Nipo na karani wa sensa hapa!Kishudu original,ni burudani kwakweli kesho tutegemee nyuzi nyinyii za kula kimasihara
Jichanganye na hii mvua,ushtuke kumekucha na kishkwambi hakionekani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimefanya mahojiano na karani wa sensa Kwa dakika 43,
Nina hakika hili zoezi haliwezi kuisha Leo
Ila makarani mkifika lile swali UNAWAKE WANGAPI? muwe mnatutoa Chemba kidogo mtavuruga zoezi
 
Nimefanya mahojiano na karani wa sensa Kwa dakika 43,
Nina hakika hili zoezi haliwezi kuisha Leo
Ila makarani mkifika lile swali UNAWAKE WANGAPI? muwe mnatutoa Chemba kidogo mtavuruga zoezi
🤣🤣🤣 ukihesabiwa unawekewa alama yoyote kama tulivopiga kura?
 
Kumbe vilaza wapo wengi nchi hii, yaani unakaa kusubiri watu wa sensa ambao hujui watakuja ama lah kweli?

Hata mwanamke mwenye kujielewa asingefanya huo upuuzi, nenda kapige kazi kijana uongeze mapato, hiyo sensa ni mradi tu wa wana ccm kupiga hela ya kodi bwashee.
 
Nipo na karani wa sensa hapa!Kishudu original,ni burudani kwakweli kesho tutegemee nyuzi nyinyii za kula kimasihara
Kama ni demu akija nitahakikisha naulizwa maswali yote 100. Ila kama mshikaji ata matano yanatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…