Hii sentensi ina maana gani?

Hii sentensi ina maana gani?

Hii ina maana gani wakuu?

If I send a letter with a cashier's check, how long does it take to get to you from the U.S.?
...Kwa hiyo wewe Meneja Mzima wa Makampuni huelewi hio Sentensi Ina maana Gani Kwa Kiswahi??? ....ama ulitaka kutujisha Kwa umeandikiwa Barua na Mzungu....Kwa kudhani kuwa umepata kumbe umepatikana!![emoji57][emoji57][emoji57]
 
Nijibu swali, acha mawazo potofu. Sio kila mtu yupo kama unavyowaza. Huyo ni rafiki yangu tunafanya biashara. Namfahamu physically naye ananifahamu. Nenda kwenye mada jibu swali.
 
Ina maana unaelekea kupigwa Muda si mrefu...

NA hao wazungu feki wa WhatsApp au insta

Usiwe unakomaa na spam emails utalizwa 🤣

...Kwa hiyo wewe Meneja Mzima wa Makampuni huelewi hio Sentensi Ina maana Gani Kwa Kiswahi??? ....ama ulitaka kutujisha Kwa umeandikiwa Barua na Mzungu....Kwa kudhani kuwa umepata kumbe umepatikana!![emoji57][emoji57][emoji57]
Msiwe wepesi ku conclude mambo wakuu. Mpeni maana ya sentensi kisha msubiri mrejesho.
 
Nijibu swali, acha mawazo potofu. Sio kila mtu yupo kama unavyowaza. Huyo ni rafiki yangu tunafanya biashara. Namfahamu physically naye ananifahamu. Nenda kwenye mada jibu swali.
Kama ni rafiki ako kwanini usimuulize anamaanisha ninii... anyway ni check ambayo bank italipa kutoka account ya bank badala ya muhisika...na mara nyingi anafanyika kwa transactions kubwa ... bank wanaongia makubaliano na uyo anaetaka kukulipa na yeye ndo atawalipa bank.
 
Sasa hii ndio nahitaji kuelewa zaidi. Inachukua siku ngapi hiyo check kutoka bank za nje kuja hapa Tanzania.
 
Nijibu swali, acha mawazo potofu. Sio kila mtu yupo kama unavyowaza. Huyo ni rafiki yangu tunafanya biashara. Namfahamu physically naye ananifahamu. Nenda kwenye mada jibu swali.
Kama ni rafiki yako na mnajuana, kwanini usimuulize yeye ana maana gani unakuja kutusumbua ma Great Thinkers wa JF?

Sisi tiko bize na maswala makubwa mtambuka yenye maslahi mapana ya Taifa letu na mambo ya tozo kwa maendeleo ya Taifa
 
Back
Top Bottom