Hii sentensi ina maana gani?

Hii sentensi ina maana gani?

Ina maana unaelekea kupigwa Muda si mrefu...

NA hao wazungu feki wa WhatsApp au insta
... wanaigeria hao wako kazini! Katika "ndoano" 10 wanazorusha hawakosi wajinga wawili watatu wanaoingia kichwa kichwa kwenye anga zao.
 
Back
Top Bottom