Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Imeisha hiyo šššIna maana unaelekea kupigwa Muda si mrefu...
NA hao wazungu feki wa WhatsApp au insta
...Kwa hiyo wewe Meneja Mzima wa Makampuni huelewi hio Sentensi Ina maana Gani Kwa Kiswahi??? ....ama ulitaka kutujisha Kwa umeandikiwa Barua na Mzungu....Kwa kudhani kuwa umepata kumbe umepatikana!![emoji57][emoji57][emoji57]Hii ina maana gani wakuu?
If I send a letter with a cashier's check, how long does it take to get to you from the U.S.?
Nijibu swali, acha mawazo potofu. Sio kila mtu yupo kama unavyowaza. Huyo ni rafiki yangu tunafanya biashara. Namfahamu physically naye ananifahamu. Nenda kwenye mada jibu swali....Kwa hiyo wewe Meneja Mzima wa Makampuni huelewi hio Sentensi Ina maana Gani Kwa Kiswahi??? ....ama ulitaka kutujisha Kwa umeandikiwa Barua na Mzungu....Kwa kudhani kuwa umepata kumbe umepatikana!![emoji57][emoji57][emoji57]
Ina maana unaelekea kupigwa Muda si mrefu...
NA hao wazungu feki wa WhatsApp au insta
Usiwe unakomaa na spam emails utalizwa š¤£
Msiwe wepesi ku conclude mambo wakuu. Mpeni maana ya sentensi kisha msubiri mrejesho....Kwa hiyo wewe Meneja Mzima wa Makampuni huelewi hio Sentensi Ina maana Gani Kwa Kiswahi??? ....ama ulitaka kutujisha Kwa umeandikiwa Barua na Mzungu....Kwa kudhani kuwa umepata kumbe umepatikana!![emoji57][emoji57][emoji57]
Je nikikutumia barua yenye hundi ya mtunza fedha (keshia) kutoka Marekani, itachukua muda gani wewe kuipata?Nijibu swali
Acheni mawazo potofu ya namna hiiIna maana unaelekea kupigwa Muda si mrefu...
NA hao wazungu feki wa WhatsApp au insta
Nikituma barua iliyo na hundi ya keshia, itachukua muda gani kukufikia kutoka Marekani?Hii ina maana gani wakuu?
If I send a letter with a cashier's check, how long does it take to get to you from the U.S.?
Kama ni rafiki ako kwanini usimuulize anamaanisha ninii... anyway ni check ambayo bank italipa kutoka account ya bank badala ya muhisika...na mara nyingi anafanyika kwa transactions kubwa ... bank wanaongia makubaliano na uyo anaetaka kukulipa na yeye ndo atawalipa bank.Nijibu swali, acha mawazo potofu. Sio kila mtu yupo kama unavyowaza. Huyo ni rafiki yangu tunafanya biashara. Namfahamu physically naye ananifahamu. Nenda kwenye mada jibu swali.
Sasa hii ndio nahitaji kuelewa zaidi. Inachukua siku ngapi hiyo check kutoka bank za nje kuja hapa Tanzania.Kama ni rafiki ako kwanini usimuulize anamaanisha ninii... anyway ni check ambayo bank italipa kutoka account ya bank badala ya muhisika...na mara nyingi anafanyika kwa transactions kubwa ... bank wanaongia makubaliano na uyo anaetaka kukulipa na yeye ndo atawalipa bank.
Depends na delivery mode na bank agreement..kuanzia wiki mbili mpaka miezi 6.Sasa hii ndio nahitaji kuelewa zaidi. Inachukua siku ngapi hiyo check kutoka bank za nje kuja hapa Tanzania.
Heeeeeeeee, hii inachua muda sanaDepends na delivery mode na bank agreement..kuanzia wiki mbili mpaka miezi 6.
Afanye wire transfer tu, chapu unafanya sherehe.Heeeeeeeee, hii inachua muda sana
Tumia google translator.Hii ina maana gani wakuu?
If I send a letter with a cashier's check, how long does it take to get to you from the U.S.?
Mimi nafikiri hapo swali gumu ni nini maana ya 'cashier's check'Hii sentensi ina maana gani wakuu?
"If I send a letter with a cashier's check, how long does it take to get to you from the U.S?"
Kama ni rafiki yako na mnajuana, kwanini usimuulize yeye ana maana gani unakuja kutusumbua ma Great Thinkers wa JF?Nijibu swali, acha mawazo potofu. Sio kila mtu yupo kama unavyowaza. Huyo ni rafiki yangu tunafanya biashara. Namfahamu physically naye ananifahamu. Nenda kwenye mada jibu swali.
Tatizo hajatulipia ada ya English course. Wengine hatukubahatika kupanda mabasi ya njano...Msiwe wepesi ku conclude mambo wakuu. Mpeni maana ya sentensi kisha msubiri mrejesho.