Hii series ni Kali ile mbaya lakini ipo underrated

Hii series ni Kali ile mbaya lakini ipo underrated

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Habari Zenu,

Katika utundu wa kutafuta series ya kuangalia kuna jamaa yangu mmoja akanirushia series moja ya Taiwan inaitwa DANGER ZONE CHAPTER 1: THE DARKNESS KNIGHT binafsi sio mpenzi wa movie au series zinazotoka Taiwan au za wafilipino lakini siku moja nikuwa Sina kitu Cha kufanya nikaona Bora tu niicheki asikuambie mtu ni bonge la series ina genre: Action, Mystery,Thriller na Investigation.Ina story nzuri inayovutia kutokana na kuwa na mtiririko mzuri wa story kiasi ambacho inakufanya kila episode inapoisha inakufanya uwe nakimuhemuhe wakucheki another episode.Ina matumizi ya akili kwenye kutatua matatizo au matukio yanayotokea.Kiufupi ndugu yangu hautajuta kupoteza bando lako kabisa
 
Back
Top Bottom