Uchaguzi 2020 Hii shamrashamra mwishoni mwa hotuba ya Salimu Mwalimu inasisimua sana

Uchaguzi 2020 Hii shamrashamra mwishoni mwa hotuba ya Salimu Mwalimu inasisimua sana

Nachingwea mkuu. Ni hatari, yaani kwa mwendo huu CCM inafutika kabisa huko Kusini mwa Tanzania.
Dah mpaka Nachingwea nanayoijua imekuwa hivi aiseee?

Dah mtihani sana.

Nachingwea kwa ninavyofahamu ni katika ngome kubwa ya CCM mpaka Jakaya mwemyewe anafahamu,lakini kwa hali hii hapanaa
 
Tulishasema kushinda kuna wizi sana lakini kitu kimoja Tanzania sio nchi ya chama kimoja na si muda mizani itakuwa upande wa pili. Mwaka huu ni zaidi ya 2015 na wamezuiwa kwa miaka mitano! Mkifanya hivyo msije mkafungia miaka mitano na kujigamba mkashitukia mko upande mwingine
 
Back
Top Bottom