HII SHEREHE YA UZINDUZI WA RELI YA CHINI IMEKAAJE AISEE ???

HII SHEREHE YA UZINDUZI WA RELI YA CHINI IMEKAAJE AISEE ???

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Hii sherehe ilihurudhuriwa na viongozi wakubwa wa nchi za Ulaya. Kukafanywa maonyesho makubwa sana lakini hata kama tunasema ni sanaa lakini hii mimi sijaielewa kabisa, maana hakuna kinachofurahisha hapi aisee: Mimi siyo conspiracy theorist lakini kwa mwendo huu unadhani watu wataacha kuwaamini hawa conspiracy theorists ??? (Scary, sick, dark and twisted)

CC: Son of Gamba , mitale na midimu , zitto junior
 
Tunaotumia Free Basics Tufanyaje??
Ngoja nikusimulie nilichokiona kwenye hiyo clip,
Huo ni uzinduzi wa reli ya chini ya ardhi ambayo ndiyo reli ya chini yenye urefu zaidi kwa sasa. Na katika uzinduzi huo viongozi wakubwa mbalimbali wa mataifa ya ulaya walikuwepo, pia viongozi wa kanisa (katoliki) walihudhuria pia.
Kinachoonekana kwenye video hiyo fupi ni kuwa katika sherehe ya uzinduzi wa reli hiyo kuna viashiria vya kumtukuza shateani kwa kupitia mavazi, aina ya michezo, na vingine vingi.
 
Hii sherehe ilihurudhuriwa na viongozi wakubwa wa nchi za Ulaya. Kukafanywa maonyesho makubwa sana lakini hata kama tunasema ni sanaa lakini hii mimi sijaielewa kabisa, maana hakuna kinachofurahisha hapi aisee: Mimi siyo conspiracy theorist lakini kwa mwendo huu unadhani watu wataacha kuwaamini hawa conspiracy theorists ??? (Scary, sick, dark and twisted)

CC: Son of Gamba , mitale na midimu , zitto junior

This is so weird, upagani kabisa huu kiukweli sijaelewa haja ya kuwekwa maibada ya baphomet na uwepo wa ''pope'' kwenye hiyo skit yao.... Inanikumbusha ila show ya kanye west aliyemleta Yesu jukwaani akiwa na msalaba na taji ya miba alafu akaanza kumkejeli, Yajayo yanasikitisha.
 
Tunao amini biblia: .hiyo Yohana wa kwanza 5 mastari wa 19 inatafsiriwa. Tunajua ulimwengu unatokana na Mungu lakini dunia yote inakaa katika nguvu za yule mwovu.

Shetani ndiyo mtawala wa dunia hii na ndiyo maana alimwambia kuwa Yesu atampatia milki zote za ulimwengu iwapo angemuabudu. Asinge offer kitu siyo chake.

Kuna kipindi Malaika alikuwa anampelekea kama sikosei Yeremia ujumbe huko Babiloni. Basi akachelewa sana kufikisha ujumbe. walivyomuuliza kwanini kachelewa akasema alikutana na mfalme wa babiloni wakati wanashuka na wakapigana sana ndiyo maana alichelewa. Bila shaka huyo mfalme wa babiloni ni mmoja wa wale malaika waasi. So hizi serikali zina mtawala wa giza nyuma yake. Pengine wetu ndiyo alituamuru tuwashe mwenge na kuukimbiza.

Ila hiyo show ipo waziwazi sana, uwepo wa Papa nao unatia ukakasi.
 
This is so weird, upagani kabisa huu kiukweli sijaelewa haja ya kuwekwa maibada ya baphomet na uwepo wa ''pope'' kwenye hiyo skit yao.... Inanikumbusha ila show ya kanye west aliyemleta Yesu jukwaani akiwa na msalaba na taji ya miba alafu akaanza kumkejeli, Yajayo yanasikitisha.
Its just creepy, very creepy!
 
Back
Top Bottom