Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba iliyotakiwa kuchezwa jmosi shinyanga imeahirishwa kwa sabb ya mvua na itachezwa juma 3saa kumi jioni...jamal malinzi huu ni uvunjaji sheria mwingine kwaajili ya kuibeba simba.Huyo kaburu &co anakuharibia tff yako[HyotufanyHyo ndo tifua tifua bwana tufanyaje na sie vilaza
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba iliyotakiwa kuchezwa jmosi shinyanga imeahirishwa kwa sabb ya mvua na itachezwa juma 3saa kumi jioni...jamal malinzi huu ni uvunjaji sheria mwingine kwaajili ya kuibeba simba.Huyo kaburu &co anakuharibia tff yako
Wamesogeza mbele ili kwenda kushiriki maziko ya mashabiki waliopata ajali mkoani morogoro!
Acha uongo ww,mechi imeahirishwa kwa sabb ya mvua na mashabiki walikuja uwanjani...kama sab b ni mazishi mechi ingetangazwa kuhairishwa angalau siku moja kabla...na kuhusu kuhudhuria mazishi hawa mashabiki hawazikwi pamoja kila mmoja anazikwakulingana na mahali au siku ambayo familia yao imepanga
Kwa hy ndo ndo mechi ikaahirishwa siku ya mechi
Na Kwa sbb msiba ulitokea cku ya mechi
Kama sababu ndio hiyo mbona uongozi wa simba ulikuwa unalalamika jana kwa sababu ya kughairisha game yao dhidi ya kagera?!Wamepisha hizo siku ili ziwe siku za maombolezo kwa uongozi, wachezaji, wanachama, mashabiki na wapenzi wa club ya Simba
Huna lolote wewe, umesahau kuwa kocha wa prisons alilalamika wazi wazi kuwa mechi yao na simba alifanyiwa hujuma na viongoz wa timu yake kwa kuwauzia simba ile mechi!!?Acheni uchawi nyie yanga.!!mpira mvacheza mbovu ila mnashinda..kuna nini hapo kama sio uchawi,azam wao kazi kuhonga..azam + yanga = majanga soka la bongo.!!
Yanga inacheza vibaya ila inashinda Simba wanacheza vizuri lakini wanafungwa !!!!!!!!!!!!!!!! Nakuomba sema kwa sauti kwamba hutochangia neno lolote kwenye mada zinazohusu soka ,kwasababu hayo si maneno ya mtu anayejua sokaAcheni uchawi nyie yanga.!!mpira mvacheza mbovu ila mnashinda..kuna nini hapo kama sio uchawi,azam wao kazi kuhonga..azam + yanga = majanga soka la bongo.!!
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba iliyotakiwa kuchezwa jmosi shinyanga imeahirishwa kwa sabb ya mvua na itachezwa juma 3saa kumi jioni...jamal malinzi huu ni uvunjaji sheria mwingine kwaajili ya kuibeba simba.Huyo kaburu &co anakuharibia tff yako
Ngarna and yahoo please come down!
Michezo ni amani, upendo na undugu. Mmefika mbali sana, kila mmoja atafakari hayo mliyoyaandika hapo juu yanamsaidia nani au yana faida gani hapa JF.
Naomba kila mmoja kwa moyo wa dhati kabisa amsamehe mwenzake maana sisi sote tunayo mapungufu katika maisha yetu. Ninakusihi wewe yahoo msamehe Ngarna na ninakusihi wewe Ngarna msamehe yahoo, muwe na amani kama ilivyokuwa zamani.
Nimekuwa nikijiuliza inakuwaje baadhi ya wadau muhimu hawaonekani hapa jukwaani mfano Anselm, mluga, Kitoabu na wengine wengi! Inawezekana lugha zetu zisizofaa zinawaondoa wakuu wengi hapa JF.
Tunapochangia tujitahidi kupunguza jazba ili kuepuka kumkwaza kwa makusudi mwana-JF mwingine.
CC. Masuke: Kwa Seniority yako hapa JF unayo nafasi ya kutushauri ili kuturejesha katika mstari ulionyooka. Yule asiyekubali kushauriwa kesi yake iripotiwe kwa Invisible kwa hatua zaidi.