Hii sheria haitumiki kwa Simba tu

Hii sheria haitumiki kwa Simba tu

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba iliyotakiwa kuchezwa jmosi shinyanga imeahirishwa kwa sabb ya mvua na itachezwa juma 3saa kumi jioni...jamal malinzi huu ni uvunjaji sheria mwingine kwaajili ya kuibeba simba.Huyo kaburu &co anakuharibia tff yako
 
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba iliyotakiwa kuchezwa jmosi shinyanga imeahirishwa kwa sabb ya mvua na itachezwa juma 3saa kumi jioni...jamal malinzi huu ni uvunjaji sheria mwingine kwaajili ya kuibeba simba.Huyo kaburu &co anakuharibia tff yako[HyotufanyHyo ndo tifua tifua bwana tufanyaje na sie vilaza
 
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba iliyotakiwa kuchezwa jmosi shinyanga imeahirishwa kwa sabb ya mvua na itachezwa juma 3saa kumi jioni...jamal malinzi huu ni uvunjaji sheria mwingine kwaajili ya kuibeba simba.Huyo kaburu &co anakuharibia tff yako

Wamesogeza mbele ili kwenda kushiriki maziko ya mashabiki waliopata ajali mkoani morogoro!
 
Acha uongo ww,mechi imeahirishwa kwa sabb ya mvua na mashabiki walikuja uwanjani...kama sab b ni mazishi mechi ingetangazwa kuhairishwa angalau siku moja kabla...na kuhusu kuhudhuria mazishi hawa mashabiki hawazikwi pamoja kila mmoja anazikwakulingana na mahali au siku ambayo familia yao imepanga
 
Wamepisha hizo siku ili ziwe siku za maombolezo kwa uongozi, wachezaji, wanachama, mashabiki na wapenzi wa club ya Simba
 
Kwa hy ndo ndo mechi ikaahirishwa siku ya mechi
 
Acheni uchawi nyie yanga.!!mpira mvacheza mbovu ila mnashinda..kuna nini hapo kama sio uchawi,azam wao kazi kuhonga..azam + yanga = majanga soka la bongo.!!
 
Wamepisha hizo siku ili ziwe siku za maombolezo kwa uongozi, wachezaji, wanachama, mashabiki na wapenzi wa club ya Simba
Kama sababu ndio hiyo mbona uongozi wa simba ulikuwa unalalamika jana kwa sababu ya kughairisha game yao dhidi ya kagera?!
Au unataka kuniambia kuwa tff wana uchungu sana na msiba wa mashabiki wa simba kuliko simba wenyewe?!!!
Tff wanayo sababu nyingine..........
 
Acheni uchawi nyie yanga.!!mpira mvacheza mbovu ila mnashinda..kuna nini hapo kama sio uchawi,azam wao kazi kuhonga..azam + yanga = majanga soka la bongo.!!
Huna lolote wewe, umesahau kuwa kocha wa prisons alilalamika wazi wazi kuwa mechi yao na simba alifanyiwa hujuma na viongoz wa timu yake kwa kuwauzia simba ile mechi!!?
Kuhusu uchawi umesahau kuwa ninyi simba na mechi ya polisi morogoro kule jamhuri morogoro ilikuaje??
 
hivi ile sheria ya kuchagua mechi kwa mchezaji simba mbona hajaomba tena kuna wachezaji wana kadi 3 za njano bench la ufundi husingizia eti majeruhi
 
Acheni uchawi nyie yanga.!!mpira mvacheza mbovu ila mnashinda..kuna nini hapo kama sio uchawi,azam wao kazi kuhonga..azam + yanga = majanga soka la bongo.!!
Yanga inacheza vibaya ila inashinda Simba wanacheza vizuri lakini wanafungwa !!!!!!!!!!!!!!!! Nakuomba sema kwa sauti kwamba hutochangia neno lolote kwenye mada zinazohusu soka ,kwasababu hayo si maneno ya mtu anayejua soka
 
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba iliyotakiwa kuchezwa jmosi shinyanga imeahirishwa kwa sabb ya mvua na itachezwa juma 3saa kumi jioni...jamal malinzi huu ni uvunjaji sheria mwingine kwaajili ya kuibeba simba.Huyo kaburu &co anakuharibia tff yako

Kulikuwa na mechi mbili zilizoahirishwa mechi ya Stand na Mtibwa na Simba na Kagera. Hivyo ikabidi ichezwe mechi iliyovunjika kwa sababu ya mvua na ni mechi ya Stand na Mtibwa. Mechi ya Simba na Kagera haikuanza bali uwanja ulijaa maji kabla ya mechi hivyo hakukua na dakika za kumalizia asubuhi.
Kabla ya kuanzisha topic jaribu kufikiri kwa ubongo.
 
Ngarna and yahoo please come down!

Michezo ni amani, upendo na undugu. Mmefika mbali sana, kila mmoja atafakari hayo mliyoyaandika hapo juu yanamsaidia nani au yana faida gani hapa JF.

Naomba kila mmoja kwa moyo wa dhati kabisa amsamehe mwenzake maana sisi sote tunayo mapungufu katika maisha yetu. Ninakusihi wewe yahoo msamehe Ngarna na ninakusihi wewe Ngarna msamehe yahoo, muwe na amani kama ilivyokuwa zamani.

Nimekuwa nikijiuliza inakuwaje baadhi ya wadau muhimu hawaonekani hapa jukwaani mfano Anselm, mluga, Kitoabu na wengine wengi! Inawezekana lugha zetu zisizofaa zinawaondoa wakuu wengi hapa JF.

Tunapochangia tujitahidi kupunguza jazba ili kuepuka kumkwaza kwa makusudi mwana-JF mwingine.

CC. Masuke: Kwa Seniority yako hapa JF unayo nafasi ya kutushauri ili kuturejesha katika mstari ulionyooka. Yule asiyekubali kushauriwa kesi yake iripotiwe kwa Invisible kwa hatua zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nimeitikia wito wako: Wakuu Yahoo na Ngarna kwa heshima na taadhima hebu jaribuni kurudi kwenye misingi mikuu ya utu ambayo ni kuheshimiana na kuthaminiana, sioni sababu ya kuporomosheana matusi makubwa makubwa kiasi hicho. Kutumia mtandao sio sababu ya kutoka kwenye misingi ya utu, ni vizuri tungejitahidi kutumia lugha za staha ili hata siku ikitokea mmeonana uso kwa uso na kujua kwamba huyu ndo Yahoo na huyu ndo Ngarna kusiwe na kuoneana aibu. tafadhalini sana ushabiki wa mpira usiwe wa kutukanana bali tutaniane kwa staha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom