Hiyo scandal ya young dee ya ushoga hivi ni kweli? Vijana ambao ndio potential wanazidi kupotea.Young dee ni wa kuonewa huruma tu. ..yupo kwenye mtihani mzito acha apunguze stress kwa nyeupe tu
Raha ya umbea shurt uhangaike we unaona tabu kuhamia thread ingine wakati warumi huwa anapanda gari kwenda kutafuta umbea, kuna siku alilala kwenye msiba usiomhusu (wa Adam kuambiana) ilmradi apate umbea ha ha ha
😀😀😀HA HA HA HA HA HA
Humu ndani ukiingia stress zote zinaisha hahahahaha..
dogo appleMhhh hili geni dogo yup asa? YoungD au tunda?
dogo apple
Una vitumbua vingap dada?
Nachoma vitumbua,acha kuwaza chini muda wote.
Haina shida dada ila nadhan ww ndo umewaza chini, nilikua Namaanisha hivo vitumbua unavyochoma umebakiza vingap dada?nilitaka nikuunge
Hahaha acha tu mkuu, kagoma kuniuzia vitumbua vya mayai mkuuTeh teh teh teh....., mmekutana hapo , pinda kushoto nikate left.
Alaaaa kwahiyo dogo hajamtunuku huo mkoko alafu mjini sio kuzuri nasikia young D anatoa jicho
jicho si ndilo vijana wanapigana vikumbo kwa wema mkuu,nasikia hana kinyongo na mtu