Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Vitumbua,Au kitumbua?Au nawe unatoa vyote viwili?Hata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?
Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
Natarajia jibu murua