Hii shoo kasimamia Young D ama?

Hii shoo kasimamia Young D ama?

kweli nimeshaanza kuzeeka.. Tunda ndio nani jamani? Ameifanyia nini Tanzania mpk anazungumzwa hivyo?
Hahahahaaa hata mimi nilikuwa simjui mkuu zaidi ya kumsoma warumi huku akimuongelea.
 
Hahahahaaa hata mimi nilikuwa simjui mkuu zaidi ya kumsoma warumi huku akimuongelea.
Humu ndani siku hivi watu story za masuper star wa mtaani kwao wanazifanya za Tanzania nzima.. Young D namjua ni msani wa music.. Ila sasa huyo Mwana dada..ndio simjui
 
Yalinikuta mimi hayo, sina hata hamu ya kumpa mwanamke kitu cha gharama.
 
Si kuna njema moja linaitwa said. Ndio lilikuwa linafumua marinda

Sijui saidi anajishughulisha na nini
Huyo said waliishaachana, said ni muuza unga alikua amempangishia masogange south na ndo alikuaga msela wake, tunda akamkwapua ikawa bifu bifu nlikua hata simjui tunda nikatamani kumuona make masogange na ule mzigo pale nyuma kuporwa si jambo dogo ukizingatia ule mzigo ni bidhaa pendwa mjini mmmh kumuona tunda nikachoka kweli jamaa kaacha range kafata vits
 
Hata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?

Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
Vitumbua au kitumbua chako?
 
Screenshot_2016-01-08-13-19-34.png
Humu ndani siku hivi watu story za masuper star wa mtaani kwao wanazifanya za Tanzania nzima.. Young D namjua ni msani wa music.. Ila sasa huyo Mwana dada..ndio simjui
Tunda ni video queen, mjini ukitokea tu kwenye kideo ukatupia na vipicha picha vya uchi instagram tayari ushakua staa.... Picha ya tunda na young d
 
Huyo said waliishaachana, said ni muuza unga alikua amempangishia masogange south na ndo alikuaga msela wake, tunda akamkwapua ikawa bifu bifu nlikua hata simjui tunda nikatamani kumuona make masogange na ule mzigo pale nyuma kuporwa si jambo dogo ukizingatia ule mzigo ni bidhaa pendwa mjini mmmh kumuona tunda nikachoka kweli jamaa kaacha range kafata vits
Mkuu samtymz tunakimbilia vitz maana hapa mjini hatukosi parking kutokana na udogo wake, range samtymz parking ni sheeeda
 
Young Dar es salaama huyu huyu,yuko choka mbaya hajitambui na kwa sasa anakula unga kama kuku,amekuwa apeche alolo, maisha ya wasanii yanaenda kisaniii sanii, jana nimemuona nay wa mitego m/city yuko na bajaji kanaitwa PORTE lakini msikilize kwenye redio akiongea anajidai ni tajiri wa kufa mtu
hahahaha mkuu apeche alolo ndo nin??
 
Hata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?

Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
nilikushauri uvushe vitumbua vyako mpk sokop la amerika na yuropu, hutaka kuskia, endelea kupinga MABADILIKO, utabaki hapo hapo!
 
Back
Top Bottom