geek jo
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 1,134
- 1,144
Good girl gone Bad... Lol..Hahahaha hapa umbea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good girl gone Bad... Lol..Hahahaha hapa umbea tu
Cha ajabu baba ake tunda ni soldier, mi huwa najiuliza sijui wazazi wakiona hizo picha za vichupi mara wanakulana mate inakuaje.Hivi hawa watoto shule wanasoma kweli? Baba zao wako wapi?
Aka katoto msumari aisee..Mpendwa unajua kanapatikanaje?Hiyo sio account yake ni mdau wake ila tunda ndo huyo
Hahahaha hapa umbea tu
huyu dogo embe nasikia ka ukwaa sijui kweli
Raha ya umbea shurt uhangaike we unaona tabu kuhamia thread ingine wakati warumi huwa anapanda gari kwenda kutafuta umbea, kuna siku alilala kwenye msiba usiomhusu (wa Adam kuambiana) ilmradi apate umbea ha ha haYaani natamani hii na ile ya Huawei mngeziunga pamoja, maana mnanipa wakati mgumu kugeuka huku na huku.
Unataka kugonga mhuri mpendwa?instagram tu kapoAka katoto msumari aisee..Mpendwa unajua kanapatikanaje?
Raha ya umbea shurt uhangaike we unaona tabu kuhamia thread ingine wakati warumi huwa anapanda gari kwenda kutafuta umbea, kuna siku alilala kwenye msiba usiomhusu (wa Adam kuambiana) ilmradi apate umbea ha ha ha
Dah apeche alolo neno hili limenikumbusha mbali sana kipindi hiyo kitaa halafu nagongea fegi kwa maselaYoung Dar es salaama huyu huyu,yuko choka mbaya hajitambui na kwa sasa anakula unga kama kuku,amekuwa apeche alolo, maisha ya wasanii yanaenda kisaniii sanii, jana nimemuona nay wa mitego m/city yuko na bajaji kanaitwa PORTE lakini msikilize kwenye redio akiongea anajidai ni tajiri wa kufa mtu
Akipigwa rungu moja tuu la kununua iphone 8 sijui.. Ndio akili zitamkaa vizuri ha ha ha haUnataka kugonga mhuri mpendwa?instagram tu kapo
Fungua account apload magari mazuri mjengo mzuri ujidai vyako utakapata
Hahaha atakimbia hadi jf make atahisi tunda anajua hadi id ya jfAkipigwa rungu moja tuu la kununua iphone 8 sijui.. Ndio akili zitamkaa vizuri ha ha ha ha
Yeah..Nataka nimuongezee baraka..Ahsante kwa dondoo..Unataka kugonga mhuri mpendwa?instagram tu kapo
Fungua account apload magari mazuri mjengo mzuri ujidai vyako utakapata
Hahahahaaa watu wachokozi?Sipendi kitumbua chenye mafuta mengi mm,kinanikera kweli
Hatari,weka mbali na samatta!!!Cha ajabu baba ake tunda ni soldier, mi huwa najiuliza sijui wazazi wakiona hizo picha za vichupi mara wanakulana mate inakuaje.
Uwiiiiiiii nammiss warumi sana jamani....Raha ya umbea shurt uhangaike we unaona tabu kuhamia thread ingine wakati warumi huwa anapanda gari kwenda kutafuta umbea, kuna siku alilala kwenye msiba usiomhusu (wa Adam kuambiana) ilmradi apate umbea ha ha ha
Usisahau kavitz pia kepesi na kanachanganya fastaMkuu samtymz tunakimbilia vitz maana hapa mjini hatukosi parking kutokana na udogo wake, range samtymz parking ni sheeeda
unakalia kigogo juu? vitumbua vyako vitakuwa vitamu sana...Kigogo sambusa mkuu,karibu.
Warumi huwa ananivunja mbavu nilicheka siku moja alitoa thread analalamikia watu wanao sema habari zake ni za uongo analalamika anapanda gari kwenda kutafuta umbea afu tunamuita muongo, alishawahi hadi kwenda nyumbani kwa wema kuchungulia dirishani ili atuletee umbea tunamuita muongo inamsikitisha sana😀😀😀 Nilicheka sitasahauUwiiiiiiii nammiss warumi sana jamani....
Zaidi ya umbea ana vituko mnooo,dah!
Itabidi siku 1 nimuone nicheke mpaka nivunjike mbavu.