Hii shoo kasimamia Young D ama?

Hii shoo kasimamia Young D ama?

Yaani natamani hii na ile ya Huawei mngeziunga pamoja, maana mnanipa wakati mgumu kugeuka huku na huku.
Raha ya umbea shurt uhangaike we unaona tabu kuhamia thread ingine wakati warumi huwa anapanda gari kwenda kutafuta umbea, kuna siku alilala kwenye msiba usiomhusu (wa Adam kuambiana) ilmradi apate umbea ha ha ha
 
Dah! Kweli umbea kuupata inabidi ushughulike!
 
Young Dar es salaama huyu huyu,yuko choka mbaya hajitambui na kwa sasa anakula unga kama kuku,amekuwa apeche alolo, maisha ya wasanii yanaenda kisaniii sanii, jana nimemuona nay wa mitego m/city yuko na bajaji kanaitwa PORTE lakini msikilize kwenye redio akiongea anajidai ni tajiri wa kufa mtu
Dah apeche alolo neno hili limenikumbusha mbali sana kipindi hiyo kitaa halafu nagongea fegi kwa masela
Ila young d na tunda si mapunda gx 100 wanaweza nunua bana
 
Last edited:
Unataka kugonga mhuri mpendwa?instagram tu kapo
Fungua account apload magari mazuri mjengo mzuri ujidai vyako utakapata
Akipigwa rungu moja tuu la kununua iphone 8 sijui.. Ndio akili zitamkaa vizuri ha ha ha ha
 
Raha ya umbea shurt uhangaike we unaona tabu kuhamia thread ingine wakati warumi huwa anapanda gari kwenda kutafuta umbea, kuna siku alilala kwenye msiba usiomhusu (wa Adam kuambiana) ilmradi apate umbea ha ha ha
Uwiiiiiiii nammiss warumi sana jamani....
Zaidi ya umbea ana vituko mnooo,dah!
Itabidi siku 1 nimuone nicheke mpaka nivunjike mbavu.
 
Mkuu samtymz tunakimbilia vitz maana hapa mjini hatukosi parking kutokana na udogo wake, range samtymz parking ni sheeeda
Usisahau kavitz pia kepesi na kanachanganya fasta
 
Uwiiiiiiii nammiss warumi sana jamani....
Zaidi ya umbea ana vituko mnooo,dah!
Itabidi siku 1 nimuone nicheke mpaka nivunjike mbavu.
Warumi huwa ananivunja mbavu nilicheka siku moja alitoa thread analalamikia watu wanao sema habari zake ni za uongo analalamika anapanda gari kwenda kutafuta umbea afu tunamuita muongo, alishawahi hadi kwenda nyumbani kwa wema kuchungulia dirishani ili atuletee umbea tunamuita muongo inamsikitisha sana😀😀😀 Nilicheka sitasahau
 
Back
Top Bottom