Hii shule imenikosha wamefanya vizuri

Hyo shule n ya daraja la kati mkuu pale chang'ombe hawaend Hawa watoto walio na wastan wa B darasa la Saba hapo huchaguliwa wale wenye alama A katika wastan wa masomo

Naweza kusema shule ya daraja la kati hyo syo ya kata

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…