Hii si sawa Nembo hadi kwenye Soksi!

Hii si sawa Nembo hadi kwenye Soksi!

Mpe hela akaweke nembo usimtengenezee mtoto mazingira magumu ya kujiona yuko tofauti na wenzake kila siku shuleni
Alijisemea rafiki yangu Mmoja,Masai,chupi ya Nini nani naona!Hiyo Nembo ya Soksi nani anaiona!?
 
download (21)~2.jpeg
 
Habarini Wana JF,

Leo mwanangu katoka shule jioni,Ananiambia baba waalimu wamesema kesho twende na Hela ya Nembo kwenye Soksi!Najiuliza maswali,kama ni utambulisho wa mwanafunzi,nani anamacho makali kama darubini ya kusoma Soksi huyu ni mwanafunzi wa shule ya msingi Kisasa _Dodoma?

Soksi hiyo inaupana kiasi Gani hadi Nembo ienee jina?

Nimejaribu kumpigia mwalimu wa shule bila Aibu kajibu ni kweli kabisa!Hizi Dili zingine zikome kabisa.!Hiyo shule ipo Dodoma inaitwa shule ya Msingi_Kisasa.

Nawapongeza kwa kufaulisha wanafunzi vizuri,Ila hili la Nembo kwenye Soksi mmefeli.Kamanda Juma huo sio ukamanda.
..."unajua sasa hivi na hii likizo mambo si mambo kabisa.Ngoja tufungue shule mambo yatajipa tu.Nitamalizia msala wangu dukani kwako arawa"...!Alisikika mwalimu mmoja wa shule ya msingi Kisasa akimueleza mwenye duka.
 
Inazidi 2000 hiyo nembo!?
Kimwakaleli mbona Kuna soksi zina midoli kama emoji nembo za Nike mara Barcelona man city hii ni kawaida
Walimu wanaboresha muonekano wa kijana na atapenda
Kama anamironjo itaonekana kweli mkuu!
 
Back
Top Bottom