Hammer11 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2024 Posts 1,518 Reaction score 2,174 Dec 31, 2024 #1 Ok mm hapa ni mzigua sasa kuna kitambu kinaniambia ety nikifa mungu atanihojii kiarabu kwaiyoo huyoo mungu hajuii kama mm sijuii kiarabu na huyoo mungu kweli atakuwa yuko sawa akamuhoji mtuu na lugha amabayoo sio yake mnajuaa dini hii ikojeee
Ok mm hapa ni mzigua sasa kuna kitambu kinaniambia ety nikifa mungu atanihojii kiarabu kwaiyoo huyoo mungu hajuii kama mm sijuii kiarabu na huyoo mungu kweli atakuwa yuko sawa akamuhoji mtuu na lugha amabayoo sio yake mnajuaa dini hii ikojeee