Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

She Quoted you

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
687
Reaction score
1,184
Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)

Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.

Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.

Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.

Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.

Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.

To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.

It seems most men are pussy starving.
 
Mama yangu mwenyewe ana ukomo wa kunijua siku nilipoondoka kujitegemea.Sasa,weye utoke kwenu tu halafu tukutane barabarani na muda huohuo utake kunielewa?Unataka nikufanyie ma-sinema ya ajabu.
Mwanaume Sio sifa kutoeleweka. Mwanaume sifa ni kueleweka na misimamo.
Kutoeleweka ni sifa ya kike.
 
Kariri hivyohivyo.Hakuna mwanaume anayeeleweka kama utakavyo.Kuna mambo yangu hata iweje,hutoyajua.Hiyo sentensi "chokozi" ya kufananisha kitu na uanamke ili upate kwa urahisi habari kwangu hunipati kibwege.Utaishi na mimi kwa kanuni zangu tata.
 
Guess what has raised up all of this? 'Feminism'.

That men should be like women and women should also be as men.

Tunaishia kutengeneza jamii ya ukike kike. Jamii iliyojilegeza mno.

Serious and real men be noted as unromantic.

Wakati tunakubali mabadiliko hayo, unakuja tena kuanza kuwatafuta aina ya watu ambao jamii inawakimbia. Wanawake bhanah!.
 
Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)

Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.

Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.

Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.

Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.

Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.

To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.

It seems most men are pussy starving.v
Vulgar
 
Back
Top Bottom