Umevurugwa kweli aisee.Mwanaume Sio sifa kutoeleweka. Mwanaume sifa ni kueleweka na misimamo.
Kutoeleweka ni sifa ya kike.
Aliyeleta feminism ni nani? Its not women, It might be the freemasons.Guess what has raised up all of this? 'Feminism'.
That men should be like women and women should also be as men.
Tunaishia kutengeneza jamii ya ukike kike. Jamii iliyojilegeza mno.
Serious and real men be noted as unromantic.
Wakati tunakubali mabadiliko hayo, unakuja tena kuanza kuwatafuta aina ya watu ambao jamii inawakimbia. Wanawake bhanah!.
Kutoeleweka Ni kupi na kueleweka kunakuaje?Mwanaume Sio sifa kutoeleweka. Mwanaume sifa ni kueleweka na misimamo.
Kutoeleweka ni sifa ya kike.
Amna, nimeamka tu na akili za usikuUmevurugwa kweli aisee.
Ugeugeu ndio kutoeleweka, hujulikani una misimamo ipi au unapenda kipiKutoeleweka Ni kupi na kueleweka kunakuaje?
Sasa hicho ndio Mimi napenda inakuwa unpredictable sio mtu anakuchora kwamba huyu Ni wa hivi..Ugeugeu ndio kutoeleweka, hujulikani una misimamo ipi au unapenda kipi
So kosa lipo kwetu?Nyani haoni kundule,bahati mbaya tabia zenu wanawake ndizo zinafanya wanaume wengi kuwa hivyo.
Ugeugeu ndio kutoeleweka, hujulikani una misimamo ipi au unapenda kipi
Yani kifupi anakuwa na akili kama za kile CHAMA CHAUgeugeu ndio kutoeleweka, hujulikani una misimamo ipi au unapenda kipi
Okay, leo sipendi hiki kesho nakipenda.Sasa hicho ndio Mimi napenda inakuwa unpredictable sio mtu anakuchora kwamba huyu Ni wa hivi..
Usije kuchanganya donts afu ukasema Ni Kukosa msimamo.
Exactly
Kwenu ni usiku? Huku kwetu saa 7 mchanarud ukalale wewe
What is the motive behind feminism?Aliyeleta feminism ni nani? Its not women, It might be the freemasons.
All men are pussy starving it is the law of nature. Ukikuta mwanaume anajiamini yeye kama yeye then hutazami kwa makini mara nyingi wanakuaga wamesifiwa sana na wanawake to the point that they are no longer insecure na hawa wanakuaga watembeza rungu balaaa.Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)
Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.
Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.
Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.
Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.
Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.
To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.
It seems most men are pussy starving.
Exactly tangu eden mwanaume kwa mwanamke ni mdhaifu,hao wanaume halisi unaowaulizia ni wa enzi zile za mama zetu wakiwa waadilifu sio zama hizi za mashangazi,sugar dady.So kosa lipo kwetu?
Miaka 10 ijayo wakati una miaka 34, hizo dm zitapungua sana. Endelea kucheza kwenye mdomo wa mamba.Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)
Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.
Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.
Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.
Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.
Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.
To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.
It seems most men are pussy starving.
Hapana, by the way feminism inavyokuwa pushed accross mainstream media ni wazi kabisa kuna kundi kubwa la watu wenye power wako behindWhat is the motive behind feminism?
It is belitting men.
Kwenda kinyume na maagizo ya Mwenyenzi Mungu, kwamba mwanaume awe kichwa na mwanamke msaidizi.
Feminism imeletwa na wanawake wenyewe.
Freemasony?
Kwani hakuna wanawake ndani ya taasisi hiyo? Wapo. Sasa kwa nini unasema Feminism haijaletwa na wanawake as if Freemanson consists of only men?