Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

Wanawake wa design ya mtoa mada sio kwa ajili ya weak men. Lazima uwe na AKILI kubwa kuweza kuwanao kwenye mahusiano. Watu wa design hii mostly huwa pisi na smart. Usiogope
 
Sijajua uzuri wako....ila hauko sawa....na nafkiri umri wako ni shida pia...unapohang pia ni tatizo lingine...unataka big boys?
 
Hakikisha hawakuelewi usieleweke na mtu yeyote
Kwa mwanaume

Unaishi kimasta wewe ndio unakuwa suka wa gari la purukushani zako

Ukilose unaonekana upo sawa ukihit mulemule unaonekana upo sahihi

-Mara hawa wakuone unatafta attention
-Hawa nao hueleweki
-Hawa wakuone tapeli
-Hawa nao una misimamo
-Hawa wengine huna misimamo
-yaani iwe ni mshikemshike vurugu mtindo mmoja

otherwise ni kwenye mambo muhimu na serious kama biashara nk hapo unatakiwa kuwa makini kwa watu wako wa biashara na uwe MWAMINIFU tu
nje ya hapo nao waisome namba watakapotaka kujua mambo yako binafsi

narudi
 
Kuna Namna umechanganya mafaili.. Kati ya wavukana na wanaume..
 
 
 
Kinda appears you are attention seeking yourself
 
Mhhhh civilized coquette [emoji23] so what do you want actually [emoji16]
 
Being OG is fun. Sijawahi kua unpredictable, everyone around me knows ulita shit unapata shit but twice as much. Ukileta respect, you get respect. No f@ckin games, no f@ckin drama!

Kutumia nguvu kumuimpress mwanamke for intimate reasons, ni mtihani niliofeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…