Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

Tatizo wanawake wa siku hizi wamekuwa wajanja sana , werevu sana ,Very educated, halafu mkiongeza na zile weakness zenu za asili ndio tatizo linazidi kuwa kubwa.

Sasa mwanamke kama mleta mada unadhani ni mwanaume gani atastahimili kuwa nae kwenye ndoa au mahusiano, ninini asicho kijuwa + idadi ya wanaume wanaomtokea+ simu janja hizi na aina ya ulimwengu tulio nao?

Wacha tu tusieleweke kwa kweli, na sio hatueleweki ki hivyo la! Tunajizima data tu, tuone mwisho wenu mwema.
Wanawake wa design ya mtoa mada sio kwa ajili ya weak men. Lazima uwe na AKILI kubwa kuweza kuwanao kwenye mahusiano. Watu wa design hii mostly huwa pisi na smart. Usiogope
 
Sijajua uzuri wako....ila hauko sawa....na nafkiri umri wako ni shida pia...unapohang pia ni tatizo lingine...unataka big boys?
 
Hakikisha hawakuelewi usieleweke na mtu yeyote
Kwa mwanaume

Unaishi kimasta wewe ndio unakuwa suka wa gari la purukushani zako

Ukilose unaonekana upo sawa ukihit mulemule unaonekana upo sahihi

-Mara hawa wakuone unatafta attention
-Hawa nao hueleweki
-Hawa wakuone tapeli
-Hawa nao una misimamo
-Hawa wengine huna misimamo
-yaani iwe ni mshikemshike vurugu mtindo mmoja

otherwise ni kwenye mambo muhimu na serious kama biashara nk hapo unatakiwa kuwa makini kwa watu wako wa biashara na uwe MWAMINIFU tu
nje ya hapo nao waisome namba watakapotaka kujua mambo yako binafsi

narudi
 
Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)

Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.

Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.

Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.

Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.

Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.

To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.

It seems most men are pussy starving.
Kuna Namna umechanganya mafaili.. Kati ya wavukana na wanaume..
 
Ni heri hata wakurya tata.YOUNG lady uko open minded sana kudos kwako! HUFICHIFICHI MAMBO.
 
Hakikisha hawakuelewi usieleweke na mtu yeyote
Kwa mwanaume

Unaishi kimasta wewe ndio unakuwa suka wa gari la purukushani zako

Ukilose unaonekana upo sawa ukihit mulemule unaonekana upo sahihi

-Mara hawa wakuone unatafta attention
-Hawa nao hueleweki
-Hawa wakuone tapeli
-Hawa nao una misimamo
-Hawa wengine huna misimamo
-yaani iwe ni mshikemshike vurugu mtindo mmoja

otherwise ni kwenye mambo muhimu na serious kama biashara nk hapo unatakiwa kuwa makini kwa watu wako wa biashara na uwe MWAMINIFU tu
nje ya hapo nao waisome namba watakapotaka kujua mambo yako binafsi

NAKAZIA HAPA....
 
Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)

Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.

Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.

Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.

Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.

Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.

To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.

It seems most men are pussy starving.
Kinda appears you are attention seeking yourself
 
Mhhhh civilized coquette [emoji23] so what do you want actually [emoji16]
 
Being OG is fun. Sijawahi kua unpredictable, everyone around me knows ulita shit unapata shit but twice as much. Ukileta respect, you get respect. No f@ckin games, no f@ckin drama!

Kutumia nguvu kumuimpress mwanamke for intimate reasons, ni mtihani niliofeli.
 
Back
Top Bottom