Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

Kama mwanamke una akili za kuelewa hii ni comedy na hii ni kujikweza basi umeharibu sifa ya uanamke wako. Wanawake wa zamani walikuwa wanaambiwa mimi ni mtoto wa Bakresa anaingia kingi. Au ukinikubali nitafanya chochote kwa ajili yako anaamini. Hao ndo walikuwa wanawake kamili. Wewe mwanamke mwenye akili timamu hufai kwenye jamii. Sifa ya mwanamke ni kutokuwa na akili mbele ya mwanaume.
 
Jamani mnajieleza kwa huyu manzi ili,,?? [emoji23][emoji23] Nyie jaeni PM mjaribu bahati ameshasema wasi hapo juu you need cash to get some
 
Umesema vyedi
Na wewe ni mwanamke mwenye ASM ndo mana ID yako umeiname ivo
 
Kama mwanamke una akili za kuelewa hii ni comedy na hii ni kujikweza basi umeharibu sifa ya uanamke wako. Wanawake wa zamani walikuwa wanaambiwa mimi ni mtoto wa Bakresa anaingia kingi. Au ukinikubali nitafanya chochote kwa ajili yako anaamini. Hao ndo walikuwa wanawake kamili. Wewe mwanamke mwenye akili timamu hufai kwenye jamii. Sifa ya mwanamke ni kutokuwa na akili mbele ya mwanaume.
Noma sana.
 
More like desperate. Using reverse psychology at appearing like she is dissing all the attention (lack of which on her side there of) to attract the same.
Nice observation
Screenshot_20221209_155644.jpg
Screenshot_20221209_155612.jpg
Screenshot_20221209_160227.jpg
 
Kama mwanamke una akili za kuelewa hii ni comedy na hii ni kujikweza basi umeharibu sifa ya uanamke wako. Wanawake wa zamani walikuwa wanaambiwa mimi ni mtoto wa Bakresa anaingia kingi. Au ukinikubali nitafanya chochote kwa ajili yako anaamini. Hao ndo walikuwa wanawake kamili. Wewe mwanamke mwenye akili timamu hufai kwenye jamii. Sifa ya mwanamke ni kutokuwa na akili mbele ya mwanaume.
Pumba
 
Back
Top Bottom