Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

Zote kelele tu,,ila mwanamke ni pesa.

Hakuna cha Mwanaume kujiamini wala sitaki pesa zake ..
Haupo sahihi. Ingekua hivyo yule binti wa chuo uliyekua unamuhudumia asingekubwaga kwa dharau kiasi kile,tena aliyekupindua ni kijana tu asiye na hela ya kutosha. [emoji23][emoji23][emoji23] pole bhana ushamba nao ni mzigo
 
The issue most men are trying to be "nice men" instead of being "good men"....wanaume unatakiwa uwe "gentleman" na sio kuwa "romantic man"....Let ladies be romantic and gents be gentle.
Whats the difference by examples?
 
Huyu Mwanamke anaakisi tabia za mama yake kabisa unawezaje kuanzisha mjadala chonganishi ilihali ungeweza kuuweka katika mfumo wa jazanda katika bongo za watu
 
Haupo sahihi. Ingekua hivyo yule binti wa chuo uliyekua unamuhudumia asingekubwaga kwa dharau kiasi kile,tena aliyekupindua ni kijana tu asiye na hela ya kutosha. [emoji23][emoji23][emoji23] pole bhana ushamba nao ni mzigo
Mwanamke ana Kawaida ya kumzoea na kujenga mapenzi na mwanaume yeyote aliyepo karibu nae zaidi Kwa muda mrefu,,
haswa mwanaume akiwa mbali nae au akiwa busy sana na Kazi kuliko mkewe.

mwanamke anaweza akasex hata na house boy /au hata shemeji yake wa kiume aliyepo nyumbani/hata mwalimu wa tuition/mwalimu wa mazoezi nk,,
sababu ya upweke alio nao au ukaribu wao.,

Haimaanishi kwamba hao ni bora kuliko mumewe au boyfriend wake,,
bali ni bora Kwa muda ule sababu ya tamaa ya kimwili aliyo au mazingira aliyo nayo mwanamke Kwa kipindi kile.

Na ndy maana baada ya kumwacha anakuja kujutia maamuzi yake.
Unadhani nini kilimfanya ajute kama sio pesa na matumizi mengine kutoka kwangu?

Wakati bado alikuwa yupo pamoja na aliyedhani anampenda kuliko mimi?

Penzi Ili listawi mwenzie ni pesa,,

Yote hayo mengine ni maneno ya kujifariji.
Ila ukwli ndy huo.

Pesa ndy mbolea ya mapenzi.
 
Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)

Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.

Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.

Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.

Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.

Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.

To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.

It seems most men are pussy starving.
SAWA utampata tu
 
Dear Men,

Sex first, relationship later.

Do not waste time, be direct, tell her what you want

Being a Comedian, outing, Buying flowers,pizza and chocolates to win her attention is a waste of time.

Also Men, Never take relationship advice from a Woman

Be a Man, Stay Taliban.
 
Eti wanakudim, mara inbobo, mara request… yan ww ndo kwa siku more thn 17 mens wakusanukie? 🤣 dont make me laughing…

Alafu ukute sura km kiatu…
Hizi jinsia zikishakuwaga desperate hasa ukizingatia umri unaenda na hakuna hata engagement mnachanganyikiwa sn..

Screenshot hizo dim za whts, tiktok, insta , jfm n etc…

Km huwez leta udhibitisho bac uzi wako n rubbish 🗑🚮
 
Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)

Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.

Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.

Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.

Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.

Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.

To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.

It seems most men are pussy starving.
Wanaume halisi tumechill na mke mmoja.

Hao pussy starving endeleeni kuishi nao maana ni suala la muda watageuka kuwa dickk hunters
 
Ukweli ni kwamba Wanaume ni wengi kuliko wanawake, unaweza kujiamin na bado mwanamke akakukataa the main point mwanamke mpaka awe na hisia na wewe ndo atamkubalia mwanaume
Una umri gani kijana?
Aliekwambia Mwanamke mpaka awe n hisia n ww ni nani?

Those girls are opportunistic… hakunaga hisia now days n nipe nikupe, na ucjidanganye, wanaume n wachache sn compare to wanawake…

Ipo hivyo toka kuumbwa kwa dunia hii,
 
Back
Top Bottom