Hii sinema waliikosea sana, huyu jamaa kulia kwa Dkt. Shika bila shaka alijua hela inayotajwa na Shika ilikuwa uongo mtupu, hebu mwangalieni

Mia 9 itapendeza,huyu jamaa bwana,sijui yupo wapi siku hizi.
 
Jamaa alifanikisha na wote tulimkubali , sababu kituko kama hcho hakikuwah tokea before , Leo jamaa ameshakufa ndo mnajifanya kumpinga .... Anyway uchambuzi huwa hauishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…