Hii sinema waliikosea sana, huyu jamaa kulia kwa Dkt. Shika bila shaka alijua hela inayotajwa na Shika ilikuwa uongo mtupu, hebu mwangalieni

Hii sinema waliikosea sana, huyu jamaa kulia kwa Dkt. Shika bila shaka alijua hela inayotajwa na Shika ilikuwa uongo mtupu, hebu mwangalieni

Alifariki kwa maradhi gani,,coz last time me kupata taarifa zake ilkuwa amesafiri huko pesa zake zilipokuwa.
 
Ila alikua na guts, kutaja million 900 kwenye mnada serious wkt pesa hiyo huna/haipo dah. R.I.P Dr.Shika
Hakusema Milion mia 9 yeye alisema namba mia8 na mia9 sio mamilioni ujanja tu alitumia wadau wakaingia kingi
 
Ila mjomba alitisha sana! Hata hiyo 900 ya sarafu mfukoni haikuwepo
 
Back
Top Bottom