Hii sio couple ni Triple ambayo haijawahi kutokea hapa JF

Ibilisi akamfuata yule aliyejiita Mtakatifu Ivuga katika bustani alipokuwa amejilaza na wale mabinti.
Akawakuta wakiwa watupu. Ibilisi akamgeukia Bwana na kumuuliza," Bwana,huyu hapa ndiye yule Ivuga mtakatifu wako?"
Bwana akajibu," Ndiye yeye"
Ibilisi akauliza tena,"Hayo ayafanyayo ndio maagizo yako?"
Bwana akamjibu Ibilisi" Mwache Ivuga aijaze dunia. Kwani imenenwa NENDENI MKAIJAZE DUNIA"
JF:61:8/7/2017
 
Ha ha ha. Ujue mmezidisha ukatuni
 
Ukilala Kwa Mke Mdogo Mie Nahamia Kwa Mkubwa
 
Chonde chonde huyo Inna futa akilini mwako, tofauti na hapo ntakubandika busha.

Usiseme sijakwambia.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] am sure kisura Inna mrembo wa kweli hapendi ukewenza
 
Unajipa mwenyewe promo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…