ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Ibilisi akamfuata yule aliyejiita Mtakatifu Ivuga katika bustani alipokuwa amejilaza na wale mabinti.
Akawakuta wakiwa watupu. Ibilisi akamgeukia Bwana na kumuuliza," Bwana,huyu hapa ndiye yule Ivuga mtakatifu wako?"
Bwana akajibu," Ndiye yeye"
Ibilisi akauliza tena,"Hayo ayafanyayo ndio maagizo yako?"
Bwana akamjibu Ibilisi" Mwache Ivuga aijaze dunia. Kwani imenenwa NENDENI MKAIJAZE DUNIA"
JF:61:8/7/2017