Hii sio couple ni Triple ambayo haijawahi kutokea hapa JF

Weka picha.

Tunaweza kuwakuta mtaani tusiwajue tukawataifisha buree.Ukiweka picha utakuwa umetoa taarifa kamilifu.
 
Love triangle motomoto!!!!
 
for ur informatio,humu JF nzima hakuna mwanamke mzuri anamzidi mahondaw
for ur information humu JF nzima hakuna mwanamke anamzidi uzuri Mahondaw,na si hao vikaragosi ulowataja...
 
for ur informatio,humu JF nzima hakuna mwanamke mzuri anamzidi mahondaw

for ur information humu JF nzima hakuna mwanamke anamzidi uzuri Mahondaw,na si hao vikaragosi ulowataja...
Mahondaw hakuna kitu. Mimi namfahamu chini juu.
Ni mzuri kwako. Ila mahondaw hapa Jf hamzidi hata Nazjaz.
Ukija kwa Inna yani sitaki hata kuelezea sifa za huyu mtoto kwani mtamsumbua. Ila JF nzima hakuna, ukija kwa relato tena hapa ndio hatari.
Mimi sibahatishi. Nilikuwa nadate ngozi nyeupe miaka kibao kwa hio nikikuambia huyu muafrica ni kisu huwa sibahatishi.
Hutaki acha. Nenda kwa makonda wako mkanywe naye chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…