Hii sio saa kabisa! Unamke, mchepuko, bado umezaa na mtu tofauti na hao , na bado ofisini unakiMada alikutafutia kazi

Hii sio saa kabisa! Unamke, mchepuko, bado umezaa na mtu tofauti na hao , na bado ofisini unakiMada alikutafutia kazi

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,474
Reaction score
10,518
Unamke, mchepuko, bado umezaa na mtu tofauti na hao , na bado ofisini unakiMada alikutafutia kazi .

Kuna mwanadada ameolewa akazaa mtoto wa kwanza chotara , mume kuuliza alijibia atakuwa mweusi tu kwa maana kila mtoto anazaliwaga mweupe.

Miaka ikapita kama mitatu 3 na mtoto ni chotara bado na anafanana na rafiki wa huyo kaka ambaye ni mzungu.

Mzungu kubananishwa akasema hakujua kuwa huyo dada ni mke wajamaa .

BAada ya jamaa kuoa ndio alikuja kumfahamu kuwa mwanadada ni mke wa jamaa . Mzungu kadai ofisi yao asilimia kubwamke wa jamaa kaliwa na manjemba ya humo ili deals zake zikae sawa za ofisi ya mwanadada huyo.

So yeye alifaulishiwa huyo mkee wajamaa. So inshu ni hii how comes mtu anamahusiano mengi hivyo???.

Ili agundue nini?? Mtu umeolewa unawanaume 60 . Mume anamke anawatoto nawake lori 2 ili agundue nini?? Mtu hana uvumilivu akitekenywa tu wah anaachia .

Kama upo kwenye mahusiano na huna amani nayo ni bora uyaache uende kwenye yale yanayokupa furahaa. Kuliko kuja kuchomwa na migunia 2 ya mkaa.

Kweli wewe ni mke wa mtu unapita na mashemeji zako, mabosi zako, hata binamu unapita nao hii unaona sawa. Halafu unasema eti wenzako masingle ladies eti ni magume gume na ma dunga nyembe wanahangaika kumbe wewe ni kahaba umeshindikana.

HII SIO SAWA. KITULIZE UJIHESHIMU JLIMCHAGUA MWENYEWE ULIONA ANAKUFAA
 
Back
Top Bottom