Wengi hawatakuelewa ila ndiyo hali halisi. Hakuna haja ya kumlalamikia Mabeto ila alaumiwe Zari kwa kutotimiza majukumu yake ya kumpa K Diamond mpaka asiwe na hamu na MabetoKuna mwanamke Wa MTU ila hakunaga mwanaume Wa mtu
invest what you are willing to loose
Mimi huwa nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa wakati ishapitahivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto
Hivi kwanini mnamuattack hamisa peke yake? huyo mond akuona kama anatakiwa atulie na mkewe na akichepuka atumie kinga?Yule Mange anawivu sijapata ona. Anamiss maisha ya Dubai ya credit card. Unaona kabisa yeye ndio anataka kabisa maisha ya Zari.
Yule Hamisa kilichompeleka kulala na mwanamme wa mtu ni nini. Wanawake wa bongo wanataka mteremko, akome.
Rafiki hujui faida ya Zari kwa Diamond ni biashara hivyo wimbo ataimba mchana na usiku anamkumbatia Mabeto.haaaaa Hamisa atapata pressure. Imagine mtu kakukana wewe na mtoto tena public na wimbo kaimba utakaodumu kwa years.
Katika hili huwezi kumlaumu Mabeto. Refer kuna mke wa mtu ila hakunaga mume wa mtu as per comment aboveHivi kwanini mnamuattack hamisa peke yake? huyo mond akuona kama anatakiwa atulie na mkewe na akichepuka atumie kinga?
kama ni makosa wote wawili wana makosa, sio missa peke yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana... Huyu binti mbinu aliyotumia asingeliweza kufanikiwa...bora angefanya ikabaki siri tuu...haaaaa Hamisa atapata pressure. Imagine mtu kakukana wewe na mtoto tena public na wimbo kaimba utakaodumu kwa years.
Tatizo kutaka kuonyesha wanadama Diamond Kwake hafurukuti Hiyo Ndio shidaHivi kwanini mnamuattack hamisa peke yake? huyo mond akuona kama anatakiwa atulie na mkewe na akichepuka atumie kinga?
kama ni makosa wote wawili wana makosa, sio missa peke yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kula na kipofu na hii ndilo tatizo la dada zetu mnakubaliana ila baadaye anakiuka makubaliano kwa kuwaeleza mashosti. Mashosti wakiinyaka lazima wavujishe kwa WIVU waoNi kweli Hamisa angejilia kuku wake kwa mrija tatizo Kiki za kijinga zinawaponza
Kuna mtuu kafanya birthday party hapo...?
Au hiko kijichura cha zari ndio party yenyewe.
Hivi kweli huyo mtoto ni wa dai ?sio wa majizo kweli,,ina maana kweli dai anamkama mtoto?mi hata siamini jamani mpaka siku hamisa aseme mtoto ni wa daihaaaaa Hamisa atapata pressure. Imagine mtu kakukana wewe na mtoto tena public na wimbo kaimba utakaodumu kwa years.
Kwa hyo zari 3-0 hamisa?Yule Mange anawivu sijapata ona. Anamiss maisha ya Dubai ya credit card. Unaona kabisa yeye ndio anataka kabisa maisha ya Zari.
Yule Hamisa kilichompeleka kulala na mwanamme wa mtu ni nini. Wanawake wa bongo wanataka mteremko, akome.
achana na comments za watuAchana na Maisha ya watu
Uanaume ni kutokufanya birthdayparty[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto
Kweli wanaume tunazidi kupungua..Hao ni wavulana Siyo wanaume.
Wanaume mnazidi kupungua kwa kasi ya kimbunga
wapi kaonyesha afurukuti? mlitaka asipost mimba yake? kama mwae anaitwa abdul asiseme? aliojiwa akakataa mnataka ajitahidi kufanya siri ya vipi looh!! mwisho mtataka hata mtoto wake asimpostTatizo kutaka kuonyesha wanadama Diamond Kwake hafurukuti Hiyo Ndio shida