Hii stail aliyotumia Diamond, kumtakia Heri ya kuzaliwa Rayvany kiboko!!!

Hii stail aliyotumia Diamond, kumtakia Heri ya kuzaliwa Rayvany kiboko!!!

Kweli wanaume tunazidi kupungua..
Jana nlikua mahali na washkaji mida ya saa3 usiku mara mmoja kanyanyuka kamnong'oneza mwenzie kitu..alienong'onezwa kapayuka birthday na umri wote ule!! Mshkaji alitoka bila kuaga naona alikua anawai kiti cha mbele.

young kilimanjaro
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sijaelewa nn kinacho endele hapa.... Hamisa Mabeto kamtengeshea mimba Diamond??? Zari ampige chini Mond, Hamisa atake over aolewe na mond ale bata za zari...... Mjini kweli kuna mambo
 
Sawa

To accomplish much you must first lose everything..
 
Baada ya zari kuachiwa mali nyingi za ivandon ni vigumu kwa Diamond kuchomoka kirahisi rahisi japo ukweli wa mtoto wa hamissa d anaujua

Lakini kwa mtonyo alionao zari kwa sasa D ni lazima aikane tu ile mimba aisee

Ndio maana d aliwatuma wazazi wake na akina esma kwenda hospitalini kumuangalia yule mtoto kama ni damu yake ili ajue mapema kama akanushe au akubali kimyakimya

So inaonekana baada ya akina mama d kutoka hospitali walimshtua d kuwa apotezee yaani sura ya mtoto haifanani nae na ndio maana kipindi cha hivi karibuni hamissa amepanic sana sana sana hadi kumuita mwanae abdul naseeb ilimradi aforce tu watu wajue ukweli

Ila mwisho wa mchezo hapa atakayeumizwa sana kuliko mwenzie ni hamissa cuz kwa mtonyo alionao zari kwa sasa D Hawezi kuchomoka wala kumletea zarau huyu dada na ndio maana d amekuwa akimpost zari kwa nguvu ili ampooze kuwa nothing happen yaani hamissa anajipendekeza tu

Hili liwe funzo kwa hawa akina dada kama hamisa waache kujipendekeza kwa wanaume za watu au maarufu na kuzalishwa hovyohovyo mwisho mimba zinakataliwa

Pia Dai amsamehe baba yake kabla hajachukuliwa na mungu asisubirie siku baba yake kafumba macho ndio akumbuke kusamehe. Yawezekana hata haya yanayomkuta saivi kukataa mtoto ni mungu anamuonyesha kitu au njia ya yeye kumaliza tofauti na baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Daimond hajamkataa baba yake na mzee alikiri anatumiwa pesa. Tatizo baba na mtoto hawajajenga urafiki hivyo Naseeb hamuoni kama rafiki yake.
 
Kwa upuuzi huu si ndege tu hata wake zenu mtaporwa,mnakaaga na wake au mademu zenu kusifia au kuzungumzia wanaume wenzenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange aliko anamwona zirairu kabisaaa sio kwa wivu na roho mbaya alivyonavyo yule kikaukau mweh.....li mange likorofi lenyewe limekaukaa kama nyama ya mishkaki au ng'ombe aliekosa malisho msiiiiiw kijitu kikavu ka kimepigwa na jua la kiama roho mbaya tu......halafu kale kahamisa kazuri ila akili hakana ujinga mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shikamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom