princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
situmii ila habari zinatufikia kama hivisimple tu mbona, we uninstall app ya IG kwenye simu yako basi hautopata shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
situmii ila habari zinatufikia kama hivisimple tu mbona, we uninstall app ya IG kwenye simu yako basi hautopata shida.
hahahaaa unaeza uchungu mara ya pili kumbe ulishazaaYAAANI!!! SIO KWA makusudi haya mwenzie ananyonyesha jamani lol
Ndio hivyo mkuu
mwanaume wa mtu yupi? Kwani zari yeye si mke wa mtu/watu??Yule Mange anawivu sijapata ona. Anamiss maisha ya Dubai ya credit card. Unaona kabisa yeye ndio anataka kabisa maisha ya Zari.
Yule Hamisa kilichompeleka kulala na mwanamme wa mtu ni nini. Wanawake wa bongo wanataka mteremko, akome.
Ndio hivyo mkuu
Nenda Mombasa kule hakunaga neno mume wangu
Utaskia Mzee Fulani au bwana fulani as long as unatimiziwa haja yako inatosha
invest what you are willing to loose
Na siku hizi unawakuta wamezibeba kabisa kwenye tuboksi kutoka Magomeni to Kinondoni huku wamevaa t-shirts zimeandikwa happy birthday to me!!!hivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto
Zikomo Kwa mbili mbale wangaKweli kuwa uyaone ......
Zikomo Jane Msowoya......
Your name sound like una asili ya kwa wakina wamuyaya Banda.
Usinipige mawe lakini jina tu nimelifananisha nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Da jane ndoa maneno gani hayo wallahi nitakuvukia maji nikufuate ulipo nikucharaze kidogo maana nikitaka kupeleka mahari kigoma leo umeninyon'gonyesha kweliKuna mwanamke Wa MTU ila hakunaga mwanaume Wa mtu
invest what you are willing to loose
DadekiDa jane ndoa maneno gani hayo wallahi nitakuvukia maji nikufuate ulipo nikucharaze kidogo maana nikitaka kupeleka mahari kigoma leo umeninyon'gonyesha kweli
Wakati ana pata mimba hamisa...zari alikua na mimba ya nillan...tena ukingoniWengi hawatakuelewa ila ndiyo hali halisi. Hakuna haja ya kumlalamikia Mabeto ila alaumiwe Zari kwa kutotimiza majukumu yake ya kumpa K Diamond mpaka asiwe na hamu na Mabeto
Hivi Abdallah kichwa wazi anayajua hayo. Usisahau wakati huo zari alijisahau akawa anaishi sauz baadala ya kubabana naye hapa bongo. Kuna njia za kumridhisha mume wakati kama huo bwana!Wakati ana pata mimba hamisa...zari alikua na mimba ya nillan...tena ukingoni
unafiki ni kitu kibaya sana maishani.
Ndugu samehe bure coz mjini hapa kuna watu hata ukijaribu kufikiri style ya laifu wanalopiga unawea ukaomba kuhama mtaa/mji/ na hata nchi.hivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto