am a girl
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 748
- 505
asante😎😎😎 Pole Hamisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante😎😎😎 Pole Hamisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli wanaume tunazidi kupungua..
Jana nlikua mahali na washkaji mida ya saa3 usiku mara mmoja kanyanyuka kamnong'oneza mwenzie kitu..alienong'onezwa kapayuka birthday na umri wote ule!! Mshkaji alitoka bila kuaga naona alikua anawai kiti cha mbele.
young kilimanjaro
Kumbe upo huku haya tuambie baba wa mtoto[emoji12] [emoji12] [emoji12]asante
Nawashangaa sana wanaomuandama Hamisa, mganda ana dharau jamani kha!!!wapi kaonyesha afurukuti? mlitaka asipost mimba yake? kama mwae anaitwa abdul asiseme? aliojiwa akakataa mnataka ajitahidi kufanya siri ya vipi looh!! mwisho mtataka hata mtoto wake asimpost
YAAANI!!! SIO KWA makusudi haya mwenzie ananyonyesha jamani lolHahahaaaa sijawai ona binadamu ana makusudi km dai.......
Madem zake kazi wanayo
kusherekea birthday party ni kawaida obama mwenyew ana celebrate watu sijui wakojeKuna mtuu kafanya birthday party hapo...?
Au hiko kijichura cha zari ndio party yenyewe.
Kuna hahhaha wewe na yeye tofaut mzee we jamaa vipi msifos mfananehivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto
simple tu mbona, we uninstall app ya IG kwenye simu yako basi hautopata shida.katika vitu ambavyo ningependa Mh Rais avifanye ni kufungia huu mtandao wa IG ... tungepambana na hali zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]simple tu mbona, we uninstall app ya IG kwenye simu yako basi hautopata shida.
Daimond hajamkataa baba yake na mzee alikiri anatumiwa pesa. Tatizo baba na mtoto hawajajenga urafiki hivyo Naseeb hamuoni kama rafiki yake.Baada ya zari kuachiwa mali nyingi za ivandon ni vigumu kwa Diamond kuchomoka kirahisi rahisi japo ukweli wa mtoto wa hamissa d anaujua
Lakini kwa mtonyo alionao zari kwa sasa D ni lazima aikane tu ile mimba aisee
Ndio maana d aliwatuma wazazi wake na akina esma kwenda hospitalini kumuangalia yule mtoto kama ni damu yake ili ajue mapema kama akanushe au akubali kimyakimya
So inaonekana baada ya akina mama d kutoka hospitali walimshtua d kuwa apotezee yaani sura ya mtoto haifanani nae na ndio maana kipindi cha hivi karibuni hamissa amepanic sana sana sana hadi kumuita mwanae abdul naseeb ilimradi aforce tu watu wajue ukweli
Ila mwisho wa mchezo hapa atakayeumizwa sana kuliko mwenzie ni hamissa cuz kwa mtonyo alionao zari kwa sasa D Hawezi kuchomoka wala kumletea zarau huyu dada na ndio maana d amekuwa akimpost zari kwa nguvu ili ampooze kuwa nothing happen yaani hamissa anajipendekeza tu
Hili liwe funzo kwa hawa akina dada kama hamisa waache kujipendekeza kwa wanaume za watu au maarufu na kuzalishwa hovyohovyo mwisho mimba zinakataliwa
Pia Dai amsamehe baba yake kabla hajachukuliwa na mungu asisubirie siku baba yake kafumba macho ndio akumbuke kusamehe. Yawezekana hata haya yanayomkuta saivi kukataa mtoto ni mungu anamuonyesha kitu au njia ya yeye kumaliza tofauti na baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhhhhh!!!Kuna mwanamke Wa MTU ila hakunaga mwanaume Wa mtu
invest what you are willing to loose
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ShikamoMange aliko anamwona zirairu kabisaaa sio kwa wivu na roho mbaya alivyonavyo yule kikaukau mweh.....li mange likorofi lenyewe limekaukaa kama nyama ya mishkaki au ng'ombe aliekosa malisho msiiiiiw kijitu kikavu ka kimepigwa na jua la kiama roho mbaya tu......halafu kale kahamisa kazuri ila akili hakana ujinga mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Marhaba msalimie mange kimavi