Hii stail aliyotumia Diamond, kumtakia Heri ya kuzaliwa Rayvany kiboko!!!

Yule Mange anawivu sijapata ona. Anamiss maisha ya Dubai ya credit card. Unaona kabisa yeye ndio anataka kabisa maisha ya Zari.
Yule Hamisa kilichompeleka kulala na mwanamme wa mtu ni nini. Wanawake wa bongo wanataka mteremko, akome.
mwanaume wa mtu yupi? Kwani zari yeye si mke wa mtu/watu??
 
Ndio hivyo mkuu

Nenda Mombasa kule hakunaga neno mume wangu
Utaskia Mzee Fulani au bwana fulani as long as unatimiziwa haja yako inatosha

invest what you are willing to loose

Kweli kuwa uyaone ......
Zikomo Jane Msowoya......
Your name sound like una asili ya kwa wakina wamuyaya Banda.
Usinipige mawe lakini jina tu nimelifananisha nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto
Na siku hizi unawakuta wamezibeba kabisa kwenye tuboksi kutoka Magomeni to Kinondoni huku wamevaa t-shirts zimeandikwa happy birthday to me!!!

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwanamke Wa MTU ila hakunaga mwanaume Wa mtu

invest what you are willing to loose
Da jane ndoa maneno gani hayo wallahi nitakuvukia maji nikufuate ulipo nikucharaze kidogo maana nikitaka kupeleka mahari kigoma leo umeninyon'gonyesha kweli
 
Da jane ndoa maneno gani hayo wallahi nitakuvukia maji nikufuate ulipo nikucharaze kidogo maana nikitaka kupeleka mahari kigoma leo umeninyon'gonyesha kweli
Dadeki

Nani wewe ????
Sound unanijua vyema
Embu njoo pm

invest what you are willing to loose
 
Wengi hawatakuelewa ila ndiyo hali halisi. Hakuna haja ya kumlalamikia Mabeto ila alaumiwe Zari kwa kutotimiza majukumu yake ya kumpa K Diamond mpaka asiwe na hamu na Mabeto
Wakati ana pata mimba hamisa...zari alikua na mimba ya nillan...tena ukingoni
 
Wakati ana pata mimba hamisa...zari alikua na mimba ya nillan...tena ukingoni
Hivi Abdallah kichwa wazi anayajua hayo. Usisahau wakati huo zari alijisahau akawa anaishi sauz baadala ya kubabana naye hapa bongo. Kuna njia za kumridhisha mume wakati kama huo bwana!
 
hivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto
Ndugu samehe bure coz mjini hapa kuna watu hata ukijaribu kufikiri style ya laifu wanalopiga unawea ukaomba kuhama mtaa/mji/ na hata nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…