BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Kaka yasikie TU mama zetu Huwa Wana mawazo sana pale tunapo haribikiwa maisha kuliko mtu yeyote man acha tu inaumiza sana tuwapense Sana mama zetu na kuwaombea kwa munguKama alijiyonga huyo mzazi ni katili sana
Mkuu mama zetu wanaumia sana Hali zetu za maisha zisipo kuwa sawa, wanaumia sana sisi tukipata niukuwaza k za Malaya ila mama zetu basi bhanaHakuna jambo linamuumiza mzazi kama anapokuwa na tumaini kwa mwanaye kisha anamaliza chuo, haoni nuru, umasikini ni ule ule haoni chochote, kinachofuata ni kukata tamaa...
Naiwazia 2030 itakuwa na wasomi wangapi na wangapi watakuwa na kipato halali?
Ee Mungu tulinde wajawako
Kajinyonga au kanyongwa?. Mama kapitia wakati mgumu akiwa anasomesha na kulea mtoto. Hapa mama ana dhalilika kupita nje ya maelezo, lakini mtoto kishakuwa na kumaliza masomo. Akitafuta ajira ndio mama ajinyonge?. Mateso ya kulea na kusomesha ni makubwa sana kuliko ya kusubiria ajira.Baadae John alipo Rudi nyumbani aka kuta mama yake kajinyonga Hadi kufa.
Mkuu mtoto ANAFANYA kazi ya saidia fundi, mama kakwambia mwanae shika nauli nenda kazini kapambane mwanangu usije wahi kukata tamaa, we huelewi nini? Mama kamuaga mwanae kwa mafumbo, badae ndo kijana akaelewa mama alimanisha niniKajinyonga au kanyongwa?. Mama kapitia wakati mgumu akiwa anasomesha na kulea mtoto. Hapa mama ana dhalilika kupita nje ya maelezo, lakini mtoto kishakuwa na kumaliza masomo. Akitafuta ajira ndio mama ajinyonge?. Mateso ya kulea na kusomesha ni makubwa sana kuliko ya kusubiria ajira.
Kipande kipi hujaelewa, mama wa watu kaangalia maisha ya mwanae akamsihi asikate tamaa, baada ya hapo kajiuaKuna kipande hapo Kati kimefutwa, mbona Kichwa na behewa havishikani mjomba ?.
Siyo wote,usijumuisheMkuu mama zetu wanaumia sana Hali zetu za maisha zisipo kuwa sawa, wanaumia sana sisi tukipata niukuwaza k za Malaya ila mama zetu basi bhana
Ehee nilikua nakutafuta, nenda katafute Uzi wa WASANII KUKAUSHIWA sio masikhara, muone wale wanaowapamba wanavo dhalilika kapiga show BURE raia hazijatokeaSiyo wote,usijumuishe
Siku nyingine ukiwa unanitafuta nitag,marioo siku mbili ana views milioniEhee nilikua nakutafuta, nenda katafute Uzi wa WASANII KUKAUSHIWA sio masikhara, muone wale wanaowapamba wanavo dhalilika kapiga show BURE raia hazijatokea