Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

Msichana mwenyewe aliyejengewa nyumba huyu hapa na angalia nyumba aliyokuwa akiishi kabla ya aliyojengewa na wanafunzi wenzie hiyo ya udongo na ingine hiyo ni aliyojengewa

Sasa hivi anahangaika ajira hana kamaliza digrii ya ualimu masomo ya sayansi kazi hana asaidiwe

 
Msichana mwenyewe aliyejengewa nyumba huyu hapa na angalia nyumba aliyokuwa akiishi na aliyojengewa na wanafunzi wenzie sasa hivi anahangaika ajira hana kamaliza digrii ya ualimu masomo ya sayansi kazi hana asaidiwe

Aende akafanye kazi kwenye viwanda 4000+ vilivyotengenezwa na awamu ya 5 chini ya Magufuli...tatizo la aajira limekwwisha chini awamu ya 5 ya uchumi wa kati
 
mkuu hiyo huwa ni sababu tu ili pesa iloyopo itoshe wanafunzi kadhaa,zinatafutwa sababu zozote ili kukomaza maamuzi yao,maana hata hao waliosoma kidumu na maji wengine hukosa pia.

haina tofauti na wewe kunyimwa kazi kwenye interview kwa kuwa una umemaliza shule mwaka uliopita.
 
Unaidharau biashara ya Vitumbua?
 
Unaidharau biashara ya Vitumbua?
Haidharau biashara ya vitumbua Ni hivi ku save hela Hadi ifikie Ada ya mtoto shule nzuri kwa biashara hiyo kunataka nidhamu na kujibana kwa Hali ya juu mno
Quote
 
Binti. Hata Mimi na uchokoraa wote huu umenitoa machozi. Mungu akupe hitaji la moyo wako. Mimi Nina umri wa wazazi wako lkn ikikupendeza naomba unipe Facebook identity yako inbox.
Cheers
 
Hongera head girl mungu atakulipa mara mia ya hiyo nyumba.
 
Huyu X-head girl ...kiduishe kisowile,ni beauty with brain with wisdom....anafaa kumweka ndani sio kumchezea,mwenye namba yake pliiiiziiii
 


Huyu mtoto anaongea hapa mimi namuona kama Malika aliyeshuka kutoka mbinguni halafu akajivalisha umbo la binadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…