Aaah niko making binamu hapew ban tuBinamu utakula ban soon,sijui umeshawaka?
Unayaporomoshaje?
Anyways... Style ya Chibu ya nywele kwa sasa sijaielewa.
Ni mbayaaaaa bora akirudishe kile kiduku tu.
Binamu unatumia keyboard gani jamani?Aaah niko making binamu hapew ban tu
Tan kachukiza hafananii na zari kabia utadhan mtu na houseboy wake au fereva wae
Una matatizo gani wewe???Mbwa weww kijakazi wa domo utaniambia nn, mfyuu
Ngoja tutaongea na Dady Ommy amwambie mamaye amnyoe Dogo hizo rasta za kubandika.
Anapenda kuiga kila kitu hizo nywele kaiga kwa nahrealJsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri
Afu nahreal aliiga kwa nani au ndo wakanza kuwa na hiyo styleAnapenda kuiga kila kitu hizo nywele kaiga kwa nahreal
Yeye si anajifanyaga tz hakuna kama yeye kwann awaige sasa hao anaowadharau, pyeeeAfu nahreal aliiga kwa nani au ndo wakanza kuwa na hiyo style
Kwn ni nahreal tu ndo aliyekuwa na style hiyo dunia nzima apo kabla ya domo kuwa na hiyo style na unatumia uthibitisho gani ili tuamini iyo style kamuiga nahreal na ndo mwenye style hiyo ulimwengu mzima......ukinijibu apo ndo nitaamin kwl kamuiga nahrealYeye si anajifanyaga tz hakuna kama yeye kwann awaige sasa hao anaowadharau, pyeee
Kubali kwanza kaiga???Kwn ni nahreal tu ndo aliyekuwa na style hiyo dunia nzima na unatumia uthibitisho gani ili tuamini iyo style kanuiga nahreal na ndo mwenye style hiyo dunia nzima......ukinijibu apo ndo nitaamin kwl kamuiga nahreal