Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Binamu utakula ban soon,sijui umeshawaka?
Unayaporomoshaje?

Anyways... Style ya Chibu ya nywele kwa sasa sijaielewa.
Ni mbayaaaaa bora akirudishe kile kiduku tu.
Aaah niko making binamu hapew ban tu


Tan kachukiza hafananii na zari kabia utadhan mtu na houseboy wake au fereva wae
 
Aaah niko making binamu hapew ban tu


Tan kachukiza hafananii na zari kabia utadhan mtu na houseboy wake au fereva wae
Binamu unatumia keyboard gani jamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unanifanya nitumie akili ya ziada kung'amua unachozungumza.
 
Duuh kweli huyo jamaa famous.. hadi nywere anajadiliwa...bado kivuli chake mtaanza kujadili..huu ndio uchawi wa rejareja kumjadili mtu kijingajinga
 
bbc4fb038456bdd924806c7bb5958a76.jpg
 
Na badoooo......
Mtazidi kumjadili kumuongezea umaarufu.... hahahaha dai chanja mbuga....

Si lazima kila mtu akupende au apende what your doing....

Upende ili iweje?? Who are you??? Umepunguza nini baada ya kutozipenda???
 
Kumridhisha kila shabiki ni kazi sana Chibu fanya unaloona linakufaa binadam tuna kawaida ya kutoridhika
 
Nikisemaga team kiba wantukana sana mna bisha check uyo jamaa hajicontrol yan
 
Yeye si anajifanyaga tz hakuna kama yeye kwann awaige sasa hao anaowadharau, pyeee
Kwn ni nahreal tu ndo aliyekuwa na style hiyo dunia nzima apo kabla ya domo kuwa na hiyo style na unatumia uthibitisho gani ili tuamini iyo style kamuiga nahreal na ndo mwenye style hiyo ulimwengu mzima......ukinijibu apo ndo nitaamin kwl kamuiga nahreal
 
Back
Top Bottom