Bibie hakuna kitu kipya chini ya jua vyote tunavikuta......ukiamua kufuga rasta au afro au unyoe nywere zote au unyoe kiduku kuna pipo kibao washafanya ayo mamboKubali kwanza kaiga???
umeongea pointDuuh kweli huyo jamaa famous.. hadi nywere anajadiliwa...bado kivuli chake mtaanza kujadili..huu ndio uchawi wa rejareja kumjadili mtu kijingajinga
na chuki pia mkuu naongeza apo[emoji115]Kumridhisha kila shabiki ni kazi sana Chibu fanya unaloona linakufaa binadam tuna kawaida ya kutoridhika
unaongea sna theory. kuliko practical evidence .Kubali kwanza kaiga???
isho boy umeongea critical point .Bibie hakuna kitu kipya chini ya jua vyote tunavikuta......ukiamua kufuga rasta au afro au unyoe nywere zote au unyoe kiduku kuna pipo kibao washafanya ayo mambo
Hahaaaaa mi Jana nilivomuona chah hapana kwa kweliNahel mwenzie handsome ana sura, sasa mwenzangu na mm uso kama tumbili katisha na hv kakonda uson kama Ana utapiamlo
Hafu na alivopungua Jana tulikuwa tu naangalia wengi watu waliangua vicheko tu. Kaonekana ka chizi kabisa hyo style haimupendezi kiukweli kabisa kiroho safi no hate.Aaaaah umeona binamu? Kawa kituko kama house boy wa ommy fimpoz
Zari atakua hampi chakula, sio kukonda kule, kawa kama chokoraa wa manzese, mi milivyomuona nilianza kulia kwa uchungu, kaka etu hakua hivi, au limbwata limezidi kipimo, haul in wenzake kiba na ommy wanavyopendeza sana afya nzuri tu, yani anatutia aibu tutaonekana watanzania wote nachokoraa kama yyHahaaaaa mi Jana nilivomuona chah hapana kwa kweli
Pressure za bibie zari anashindwa kuzi handle nadhani, Mimi huwa sielewi ule uvaaji ka kichaa au ndo kuiga fashion za kanye za Yeezy maana ndo huvaa matambara. Na ka nilibwata basi linamnyonya damu aisee kapungua hadi usoZari atakua hampi chakula, sio kukonda kule, kawa kama chokoraa wa manzese, mi milivyomuona nilianza kulia kwa uchungu, kaka etu hakua hivi, au limbwata limezidi kipimo, haul in wenzake kiba na ommy wanavyopendeza sana afya nzuri tu, yani anatutia aibu tutaonekana watanzania wote nachokoraa kama yy
Ulimsikia sudy alivyosema? Domo style yake mpya imemfanya awe mcharuko, nywele zimechomoza kama miba ya ikulu, yan ukimuona huwez kumlaumu maneno aliyokua akitoa kwa dimpoz, naana mtu mwenyewe kitukoHahaaaaa mi Jana nilivomuona chah hapana kwa kweli
Mmh tan kawa chokoraa kweki uswahili upo kwenye damu, mbona wenzie akina ommy na kiba wanavaa poa tu wanaprndeza, yy kawa kama kuku aliyenyeshewa na mvua, mmh ptuuuh!! Zari yuko busy kubadili hati ya nyumba ya south akimaliza mission domo aarudishwa madalePressure za bibie zari anashindwa kuzi handle nadhani, Mimi huwa sielewi ule uvaaji ka kichaa au ndo kuiga fashion za kanye za Yeezy maana ndo huvaa matambara. Na ka nilibwata basi linamnyonya damu aisee kapungua hadi uso
Mshauri wake wa mavazi anamfanya mwenzake awe kituko kabisa aisee hasa kile kikoti cha jeans juu full vtuko, huyu akivaa kawaida atapendeza tu mno. Naomba Mungu zari asimlize huyu kijana maana duhMmh tan kawa chokoraa kweki uswahili upo kwenye damu, mbona wenzie akina ommy na kiba wanavaa poa tu wanaprndeza, yy kawa kama kuku aliyenyeshewa na mvua, mmh ptuuuh!! Zari yuko busy kubadili hati ya nyumba ya south akimaliza mission domo aarudishwa madale
hahahahaha imebidi nicheke tuuu.....jf kuna vituko sana...kimsingi style hiyo ya nywele hunyonya mwili na kumfanya mtu akonde.....Zari atakua hampi chakula, sio kukonda kule, kawa kama chokoraa wa manzese, mi milivyomuona nilianza kulia kwa uchungu, kaka etu hakua hivi, au limbwata limezidi kipimo, haul in wenzake kiba na ommy wanavyopendeza sana afya nzuri tu, yani anatutia aibu tutaonekana watanzania wote nachokoraa kama yy
Zari unadhan anabebaga mimba bila mpangilio, kaona fursa, binamu Lulu nae nasikia Ana tumbo? Hatak ujinga na yy anataka urithi wa mileleMshauri wake wa mavazi anamfanya mwenzake awe kituko kabisa aisee hasa kile kikoti cha jeans juu full vtuko, huyu akivaa kawaida atapendeza tu mno. Naomba Mungu zari asimlize huyu kijana maana duh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila Dai ni pesa tu imemtakatisha jamani lakini bado.Hii style dai amekuwa ka nguchiro au sungura mjanja inachekesha kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu jamani!Nahel mwenzie handsome ana sura, sasa mwenzangu na mm uso kama tumbili katisha na hv kakonda uson kama Ana utapiamlo
WahiiJsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Zari atakua hampi chakula, sio kukonda kule, kawa kama chokoraa wa manzese, mi milivyomuona nilianza kulia kwa uchungu, kaka etu hakua hivi, au limbwata limezidi kipimo, haul in wenzake kiba na ommy wanavyopendeza sana afya nzuri tu, yani anatutia aibu tutaonekana watanzania wote nachokoraa kama yy