Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Bibie hakuna kitu kipya chini ya jua vyote tunavikuta......ukiamua kufuga rasta au afro au unyoe nywere zote au unyoe kiduku kuna pipo kibao washafanya ayo mambo
isho boy umeongea critical point .

ata yeye lips alizo paka kaiga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji115]
 
Hahaaaaa mi Jana nilivomuona chah hapana kwa kweli
Zari atakua hampi chakula, sio kukonda kule, kawa kama chokoraa wa manzese, mi milivyomuona nilianza kulia kwa uchungu, kaka etu hakua hivi, au limbwata limezidi kipimo, haul in wenzake kiba na ommy wanavyopendeza sana afya nzuri tu, yani anatutia aibu tutaonekana watanzania wote nachokoraa kama yy
 
Pressure za bibie zari anashindwa kuzi handle nadhani, Mimi huwa sielewi ule uvaaji ka kichaa au ndo kuiga fashion za kanye za Yeezy maana ndo huvaa matambara. Na ka nilibwata basi linamnyonya damu aisee kapungua hadi uso
 
Mmh tan kawa chokoraa kweki uswahili upo kwenye damu, mbona wenzie akina ommy na kiba wanavaa poa tu wanaprndeza, yy kawa kama kuku aliyenyeshewa na mvua, mmh ptuuuh!! Zari yuko busy kubadili hati ya nyumba ya south akimaliza mission domo aarudishwa madale
 
Mshauri wake wa mavazi anamfanya mwenzake awe kituko kabisa aisee hasa kile kikoti cha jeans juu full vtuko, huyu akivaa kawaida atapendeza tu mno. Naomba Mungu zari asimlize huyu kijana maana duh
 
Zari atakua hampi chakula, sio kukonda kule, kawa kama chokoraa wa manzese, mi milivyomuona nilianza kulia kwa uchungu, kaka etu hakua hivi, au limbwata limezidi kipimo, haul in wenzake kiba na ommy wanavyopendeza sana afya nzuri tu, yani anatutia aibu tutaonekana watanzania wote nachokoraa kama yy
hahahahaha imebidi nicheke tuuu.....jf kuna vituko sana...kimsingi style hiyo ya nywele hunyonya mwili na kumfanya mtu akonde.....
Kusema ukweli Diamond hiyo style haijamfit na si style inayo mfaa...angeendelea kunyoa tuuu...
 
Mshauri wake wa mavazi anamfanya mwenzake awe kituko kabisa aisee hasa kile kikoti cha jeans juu full vtuko, huyu akivaa kawaida atapendeza tu mno. Naomba Mungu zari asimlize huyu kijana maana duh
Zari unadhan anabebaga mimba bila mpangilio, kaona fursa, binamu Lulu nae nasikia Ana tumbo? Hatak ujinga na yy anataka urithi wa milele
 
Nahel mwenzie handsome ana sura, sasa mwenzangu na mm uso kama tumbili katisha na hv kakonda uson kama Ana utapiamlo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu jamani!
 
Jsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri
Wahii
 
Zari atakua hampi chakula, sio kukonda kule, kawa kama chokoraa wa manzese, mi milivyomuona nilianza kulia kwa uchungu, kaka etu hakua hivi, au limbwata limezidi kipimo, haul in wenzake kiba na ommy wanavyopendeza sana afya nzuri tu, yani anatutia aibu tutaonekana watanzania wote nachokoraa kama yy
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom