Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Mwambieni huyo msanii wenu sio kila kitu anaweza kuiga yaani huu mwonekano umemchukiza bora angebaki na kiduku chake tu, mbona rayvan mashabiki walimwambia na akanyoa
Jamaa anawalazimisha kila siku hasitoke midomoni mwenu.Na msivyojijua mnaingia mkenge tu kwa kumjadili,huku yeye katimiza lengo lake.
 
teh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
 
teh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
Tena sana,haswa kama wewe MAMBO YA MITANDAONI NDIO UNAONA MAISHA HALISI,ILA KAMA UNAFANYA KWA BURUDANI BASI SIO TATIZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…