Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
mmmmmhhhhKawa kama kafido dido na hiyo minjino sasa yani ptuuuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmhhhhKawa kama kafido dido na hiyo minjino sasa yani ptuuuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha imenichesha sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ana stress hivi View attachment 439747
Jamaa anawalazimisha kila siku hasitoke midomoni mwenu.Na msivyojijua mnaingia mkenge tu kwa kumjadili,huku yeye katimiza lengo lake.Mwambieni huyo msanii wenu sio kila kitu anaweza kuiga yaani huu mwonekano umemchukiza bora angebaki na kiduku chake tu, mbona rayvan mashabiki walimwambia na akanyoa
Mbona waguna?mmmmmhhhh
Yeye kama maji tu,kila siku lazima mutamtaja tu,kawatoa huku sasa mko huku.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha imenichesha sana.
Jamaa kama hajiamini hivi!
Ushaanza # Kokoro [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Weeeeee hata usijaribu kabisa.
Nitakupa mikausho mikali kinoma.
Hiyo style wendawazimu?
Alivyofanya hivi mlisemaje ........ Na leo mnajadili nywele,na mineno inawatoka.Kawa kama kafido dido na hiyo minjino sasa yani ptuuuu!!
YessssssUshaanza # Kokoro [emoji23]
Sijawahi kujadili kipini cha Chibu,excuse me [emoji13]Yeye kama maji tu,kila siku lazima mutamtaja tu,kawatoa huku sasa mko huku.
![]()
Nacheka mpka mbavu zinauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ana stress hivi View attachment 439747
DIAMOND KWENU NI ZAIDI YA MAJI KILA SIKU NI LAZIMA MUYATUMIE KWA NAMNA YOYOTE ILE.LEO MNAJADILI NYWELE ZAKE,NANI HUWA ANAJADILIWA JINSI ALIVYO KAMA SI MOND PEKE YAKE.......???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ana stress hivi View attachment 439747
Hiv wewe ni wakike au wakiume ..........??Nacheka mpka mbavu zinauma
Aaaaaaaah, binamu Mungu anakuona, halafu anatak kushindana na ma handsome akina kiba na ommy ,na hapo tu snapesa, angekua hama sijui ingekuaje, akafanyiwe operation ya sura domo na machoKawa kama kafido dido na hiyo minjino sasa yani ptuuuu!!
Hujanizidi mimi binamu, nacheka sana.Nacheka mpka mbavu zinauma
Tena sana,haswa kama wewe MAMBO YA MITANDAONI NDIO UNAONA MAISHA HALISI,ILA KAMA UNAFANYA KWA BURUDANI BASI SIO TATIZO.teh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
Mbona nyie mlijadili suti ya Kiba?DIAMOND KWENU NI ZAIDI YA MAJI KILA SIKU NI LAZIMA MUYATUMIE KWA NAMNA YOYOTE ILE.LEO MNAJADILI NYWELE ZAKE,NANI HUWA ANAJADILIWA JINSI ALIVYO KAMA SI MOND PEKE YAKE.......???
![]()
Hahahaha! Alafu white Masai ndio ulikuwa unatakiwa unitie moyo nitupie hiyo styleYessssss
Si unajua tena mimi white Masai?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]