Hii style mpya ya nywele ya Diamond

teh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
Aaaaaaah aaah na bado, yani kama wana pressure wakiingia humu watakufa kabisa
 
Aaaaaaaah, binamu Mungu anakuona, halafu anatak kushindana na ma handsome akina kiba na ommy ,na hapo tu snapesa, angekua hama sijui ingekuaje, akafanyiwe operation ya sura domo na macho
Na hapo ana hela ndio anajitahidi kujimake up ila enzi zile za nenda kamwambie alikuwa kituko
 
Jamaa anawalazimisha kila siku hasitoke midomoni mwenu.Na msivyojijua mnaingia mkenge tu kwa kumjadili,huku yeye katimiza lengo lake.
Mkubwa kifesi kumbe jamaa huwa anafanya makusudi kujiweka vipini na kujipodoa kama mabinti sasa tutakuja kupeleka barua ya kumchumbia kwa bi sandra waanze kuturaumu!
 
teh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
Umeona eee,,kuna watu wapasukaga kama hawna vichwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…